Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

[emoji599][emoji599]| #mufc XI vs Reading: De Gea, Wan-Bissaka, Maguire, Lindelöf, Malacia, Casemiro, Eriksen, Antony, Fernandes, Rashford, Weghorst
 
Duh kocha yupo serious kweli hadi katimu kadogo kapanga full mkoko.
1674933194109.jpg
 
Changes chache Sana,,,

Nilitegemea kuwaona kina

Mainoo, facundo n.k kupata more minutes,,,,

Jamaa hataki masikhara, wacha tuone au ako na plan ya kumaliza game mapema then second half anawaweka hao wengine !!!
 
Ukileta masihara unapigwa out timu inataka kombe
 
duh! Offside eti. VAR ni shida.
Kinachonshangaza gemu na man city rashford alikua offside wakat pass inapigwa ila kwa kuwa hakugusa mpira ikawa onside.. ila hapa weghost alkua offside wakat pass inapgwa ila hakuugusa mpira, aliyegusa mpira ni beki wa reading ndo mpira ukamkuta weghost akatoa assist ila imechukuliwa ni offside

Sasa ndo naanza kuelewa kwann marefa wa uingereza wanapewaga nafasi chache kwny world cup
 
Back
Top Bottom