Manchester United (Red Devils) | Special Thread


Wee ni mtu wa mpira wa kibisa respect
 

ETG aachwe atengeneze Project yake ndo kwanza ana miezi 6 lkn stil yupo top 4.
Arteta ameshatengeneza ya kwako ndo maana Arsenane wapo on fire......
 
Wee ni mtu wa mpira wa kibisa respect

City kacheza na spurs na wolves nimeona wamebadilika mkuu na wao walipoteana wingi wa mech ni msala kuna muda naikumbuka chelsea ya conte 2017 walikuwa wakicheza kila mwisho wa wiki hawana mashindano mengine walikuwa wanatoa kichapo haswaa walipoingia kwenye mashindano maane walipoteana
 
Ilitoa ahuweni kwa beki zetu, kuna muda zinchenko hakuwa huru kucheza, sababu ya Anthony, alipokuja mtoa, zinny akawa huru, akawa anasogea kwenye kiungo ndio ule msako ukafanyanyika.
Yale Yale ya Argentina kumtoa Dimaria sku ya final FIFA, washukru kulikuwa na sub ya dybala , somehow same to Dimaria
 
Anthony huwa Ni kiazi, kitendo Cha kumtoa mliturahisishia kazi Sana

Nilikaa na mashabiki wa man u ,nikagundua hawajui mpira ,walikuwa wanataka Anthony atoke,

Nikawaambia Anthony Ni mzinguaji ila leo anafanya Magalhaes na zinny wasipande ovyo ,

Alipotoka walinielewa
 
Pamoja na yote lakini hatuna machaguo mengi kwenye eneo la ushambuliaji.
Ukiliangalia bench baada ya timu kukamatwa unashindwa umnyanyue nani akabadilishe mchezo.

Kuna wakati nawaza kama ile yellow kadi ya Casemiro kama ilikuwa ya kujitakia vile,Zaha hakuwa na impact kubwa kwa eneo alilokuwepo hadi jamaa amrukie vile.

Hata hivyo tumejitahidi sana kwa hawa Arsenal waliochachuka mbaya msimu huu.
GGMU
 
Total dominance,no janja janja
 
Arsenal ya kawaida sana na jana defense yenu imekuwa exposed na Brighton.

Brighton ndiyo timu pekee ukiacha United imeonyesha udhaifu wenu ni vile tu na wao walikuwa na makosa mengi ya kiulinzi na udakaji.
Kwakweli Arsenal ya kawaida Sana

Manchester United stats in details: Arsenal had 63 touches in the United box!! 63!!

That’s the highest total in any Premier League game this season. United only had 12 in Arsenal’s box.

Arsenal’s 3.2xG (off 25 shots) is their highest this season.
 
Hongereni arsenal kwa kuchukua ubingwa wa kumfunga man u
 
Kipind Cha Unai emery ,Arsenal haikuwa ina dominate mechi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…