Kabisa Jombaa. Tuwe na shukrani, Ten Hag kafanya kazi kubwa mno mpaka sasa. Miezi 6 iliyopita hakuna hata mtu mmoja aliyebashiri United tunaweza kushindania kumaliza nafasi nne za juu. Plus chance of winning something (Carabao).Mimi ndo maana nimesema siwezi kumlaumu kocha wala mchezeaji
Maana msimu huu kigogo mwenye ajachapika kwetu ni Chelsea tu wote hao tumewalamba.
Kwangu naona ten hag anaonyesha mwanga maana ndo msimu wake wa kwanza tu ila timu ipo vizuri tu.
Arsenal ana mechi mbili za lig na man cityHuwa wanaongea sana. Msimu huu ni kheri City achukue ndoo patulie. City hivi ina mashabiki watu wazima kweli hapa bongo (umri juu ya 18)?
Wacha we mtabiri uyuLeo tunawafunga goli 3 lakini De Gea atakua man of the match [emoji16]
Kabisa, mimi nakumbuka City ya Kevin Keegan miaka ya 2000 ~ 2005 ilikuwa kama Wolves tu.Mashabiki wa city wengi ni mashabiki wapya 😄
Pia tukumbuke mzunguko wa kwanza tuliwapiga, tupunguze makasiriko yasiyo na maana na wao walitaka kushinda.Tujipange kwa mechi zijazo. Kuteleza sio kuanguka. Naamini kocha atajipanga vizuri na kurekebisha makosa yake.
Win or loose...We are United!!
GGMU
Utatulia tuRashhhhhhfoooooood
I love youMan u mnazingua bora niswitch to al nassir nimungalie cr7 mara ya mwsho mwsho b4 kuretire
Kimasikhara labdaTunashindaa wananguuu[emoji3533][emoji3533][emoji3533][emoji3533]
Arsenal kama waki-maintain hii momentum wanaweza kubeba ndoo japokuwa sitaki wabebe. Nina washikaji zangu hao sipumui kabisa kwa maneno yao.Arsenal ana mechi mbili za lig na man city
Tuombe uzima tuone hiyo processtrust the process...
Arsenal wana mdomo sijapata kuonaArsenal kama waki-maintain hii momentum wanaweza kubeba ndoo japokuwa sitaki wabebe. Nina washikaji zangu hao sipumui kabisa kwa maneno yao.
SawaTupo pamoja leo pingeni mbwa hizo
Ikawaje tenaWakati Rashford anafunga bao yani hata hajamaliza kushangilia huku Baleke naye anaipatia bao la kuongoza Simba
Mechi hizi zikiisha zikiwa zimepata ushinda, siku yangu itamalizika vizuri sana leo
Heee kocha tenaAcha arsenal washinde tu kocha Ni fala sana
Nilikua nawaambia humu komaeni na timu ya weusi mkawa mmeziba masikioGame ya cry ni kama waliipuzia walitakiwa washinde wabebe pts 3