Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kabla ya Ole Ronaldo alikuwa anakimbia kimbia tu uwanjani, tuliomuona Ronaldo 2003-2006 tunajua, hakua akijua kupiga vichwa, mashuti na skills nyingi za Striker, ole anastaafu na kupewa Ukocha wa Maforward ndio akaanza kuwafua Forward wetu mpaka tunaona 2006-2009 tuna fluid front line,

Ole kamfundisha Haaland ambaye watu kibao walisema hawezi toboa kama Mchezaji, Ole amewafanya Martial, Rashford na Greenword kufunga Goli nyingi kuliko Salah, Mane na Firminho,

Hivyo Ole ameprove talent yake ya kufundisha striker,
You know nothing about football kaa kimya utachekwa
 
Wewe ni takataka huna akili kenge wewe
Wewe ndio mjinga ,unahisi mafanikio ya furgson yalikuja Kama makalio Kila mtu anayo ,yey mwenyewe alichezea vichapo mbali mbali ,mpka kuja kutengeneza system yake iliyompa mafanikio .....saizi mmekalia kutimua timua tu makocha [emoji23][emoji23][emoji23]kwa vile wewe ni mamruki na shabiki wa 2006 huwezi elewa
 
Man u ina matatizo na watu hawataki kuambiwa ukweli
Mwisho wa cku CR7 kasema ukweli ili timu ipone matokeo yake watu wanamshambulia CR 7
Cjui vichwan mwa watu kuna nn? Mtu anajifanya kuijua man u kuliko CR7 mwenyewe
Yani MTU anamdharau kocha hadharani unasema anaonewa ?


Pumbavu kabisa wewe
 
Wewe ndio mjinga ,unahisi mafanikio ya furgson yalikuja Kama makalio Kila mtu anayo ,yey mwenyewe alichezea vichapo mbali mbali ,mpka kuja kutengeneza system yake iliyompa mafanikio .....saizi mmekalia kutimua timua tu makocha [emoji23][emoji23][emoji23]kwa vile wewe ni mamruki na shabiki wa 2006 huwezi elewa
Kunya tawaza ulale
 
Hebu niambie kocha hana mbinu anawaonyesha goli ya 1997 alafu ana waacha mdiscuss
Kesho yake 5 bila
Ronaldo kasema ukweli

Yaani unaondoka man u unarudi baada ya miaka 10 naa unakuta watu wale wale alafu utegemee maendeleo yale yale
 
We jamaa kichwa yako kwenye mpira
imejaa madini tupu.
Nikinunua timu daraja la pili nakuchukua uwe DOF, naimani baada ya misimu miwili timu yetu itapanda daraja, ndani ya miaka 5 nikiwa na wewe ninauhakika tunachukua kombe ligi kuu.
Kuongea na kutenda ni vitu viwili tofauti.
 
Ronaldo kawachana aisee dah

JAMAA kajilipua hatari Sana

Huyu harudi Tena man u
Dawa yake ni kuendelea kubaki hapo, halafu hakuna kupangwa mechi yoyote, ili aondoke bure mkataba wake ukiisha. Amejilipua ili United wavunje mkataba, ambapo ikiwa hivyo itabidi alipwe!
Ten Hag awe na ujasiri wa kumuweka benchi.
Hii ndiyo dawa, mpaka mkataba uishe
 
Ronaldo anawaza Balon dor ijayo anachukua MESSI,ana argentina ipo vizuri,Psg yaweza chukua ufaransa,pengine hata uefa..

Sasa yy akijicheki yupo kwenye timu inayojengwa aah bora amwage ugali tuu
 
Ila kuna vitu kaongea bora tu kapiga bomu maana ni dongo direct kwa Glazers wanaomkumbatia.
Hakuna jipya ambalo kaongea kuhusu hili. Kwani toka Glazers wamechukua timu, wamekuwa wakipingwa. Hilo la kutokuwa na progress nalo limeongelewa sana. Kumbuka habari za United kutokuwa na technical director katika modern football! Kuhusu kivuli cha SAF kubaki nalo limesemwa sana.

Naamini chini ya ETH mambo mengi yatabadilika kuanzia Carrington.
 
Ronaldo " uwanja wa OT unavuja ,umejaa madimbwi ya maji mpaka kuna mazalia ya mbu ,mbu zilikuwa zinaning'ata utafikili nyoka "[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom