Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Oya Flano CR 7 kawachanachana

[emoji2788]| Cristiano Ronaldo: “I think the fans should know the truth. I want the best for the club. This is why I come to Manchester United. But you have some things inside [the club] that don’t help us reach the top level as Man City, Liverpool & even now Arsenal.” [@PiersUncensored]


[emoji2788]| Ronaldo: “A club with this dimension should be top of the tree in my opinion and they [Man United] are not unfortunately.”
 
[emoji16][emoji16][emoji16] ametoa boko hii mbuzi mkienderea kubembeleza itaigarimu timu
20221114_014511.jpg
 
Huwa nashangaa sana mtu akiweka matumaini kwa mpumbavu kama Rashford, hana akili ya mpira, ni mbahatishaji tu huyu.
Man u tunaangushwa na forward kifupi hatuna forward I mean Rashford na Martial sio forward wakuwategemea wanapaswa kutokea sub. Mtu kama Grenwood na Gernacho wanapaswa kuanza ni vile tu Greenwood anamatatizo ila ile ni machine.
 
Endeleeni kudanganyana ,ametumia £252m kusajiri wazee wawili , yule belie average player malacia , Anthony mchezaji wakawaida tu, Martinez Ndiye kalamba dume

Hawa wazee wawili Eriksen na casemiro mtahitaji Tena warith wao sio muda

Kocha wenu mechi nyingi janja janja nyingi
Mkuu tuna academy bora tutawatoa huko warithi humuoni Gernacho?
 
Kama unajua unajua tu mkuu hakuna cha kusema kaja flani cjui kaja nani, hakuna kitu kama hicho. Kuna watu walikuwa wansema kuja kwa Ronaldo kumemaliza kiwango cha Bruno, kiaje? Wewe leo unasema kuja kwa Ericksen, sio kweli kabisa.

Pale Madrid alikuwepo cr7, ilikuwa hata aje nani jamaa ndio alikuwa mwamba pale kwa misimu yote aliyokuwepo pale, na pale Barca alikuwepo Leonel, hata aje nani jamaa alikuwa juu tu, zaidi zaidi hao waliokuwa wanakuja ndiyo walikuwa wanapambana kutengeneza bond na hao viumbe ili wapate nafasi ya kuwa kwenye first eleven. So, ku flop kwa Bruno hakuhusiani na ujio wa yeyote yule zaidi ya yeye mwenyewe kushindwa kutunza kiwango chake.

Na hapo inawezekana huenda jamaa sifa zilimlevya au ameongeza sana starehe hasa mbususu kuliko kufanya mazoezi.
Benzema ameanza kuonekana baada ya Ronaldo kuondoka.
 
Ujasiri upi wakati kaongea FACTS bila kupapasa macho
Ten hag kashaonesha ujasiri long time wa kutompanga kikosini,huo ndo ujasiri na mwanaume ni vitendo sio kubwabwaja,Ten hag kaonesha kwa vitendo kwamba hamhitaji Ronaldo.
Ronaldo nae angekua kidume angeperfom uwanjani ili aweze kutetewa na wengi.

Japo kwa upande wa viongozi kuna baadh ya vitu kaongea vina ukweli,Glazer wapo kibiashara na nna wasiwas wanaweza kumuangusha Ten hag
 
Back
Top Bottom