Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Utd ndio imemtengeneza Ronaldo, angekuwa Chelsea ama Arsenal angekuwa tu kama kina Saka.

kuanzia enzi za Kina Charlton, Law, Best, Cantona, Beckham etc united imetengeneza Global superstar,

United Pekee mtu kama Depay, Bastian, Martial etc anaingia top 3 ya mauzo ya Jezi.

Hata leo ukiangalia Fanboy wengi wa Ronaldo wanatoka Man U.
Pogba yupo wapi? Lukaku?

Eti ronaldo ni taasisi. Mbwa yule aende Aston Villa kama atafahamika tena.

Fan base ya Man Utd inambeba kila mtu hata Manula akacheze huko. Kesho ni brand ya kimataifa.
 
Hakuna jipya ambalo kaongea kuhusu hili. Kwani toka Glazers wamechukua timu, wamekuwa wakipingwa. Hilo la kutokuwa na progress nalo limeongelewa sana. Kumbuka habari za United kutokuwa na technical director katika modern football! Kuhusu kivuli cha SAF kubaki nalo limesemwa sana.

Naamini chini ya ETH mambo mengi yatabadilika kuanzia Carrington.
Hata Glazers wanazidi kupewa presha ya kuachia timu. Na wataiachia tu.

Ronaldo anachoongea hakina jipya zaidi ya kumtukana Kocha.

Msenge sana yule jamaa.
 
[emoji599][emoji599][emoji981]| Cristiano Ronaldo: ‘In my opinion it will be hard to imagine #mufc at the top of the game in the next 2-3 years.’ [@PiersUncensored]
 
Namba hazidanganyi
skysports-cristiano-ronaldo_5965808.jpg
 
Dawa yake ni kuendelea kubaki hapo, halafu hakuna kupangwa mechi yoyote, ili aondoke bure mkataba wake ukiisha. Amejilipua ili United wavunje mkataba, ambapo ikiwa hivyo itabidi alipwe!

Hii ndiyo dawa, mpaka mkataba uishe
Ni bora Man U ikamuachia akaenda zake kuendelea kumlipa pesa ya bure ni ujinga. Real Madrid tulifanya hivyo kwa Gareth bale mpaka msimu ulioisha jambo ambalo halikuwa na faida yoyote ile.
 
Back
Top Bottom