Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,701
- 35,772
ETH secretly aliwaambia wamiliki kama wanataka pesa za matangazo basi Ronaldo abaki Ila kama wanataka timu ifanye vizur bas Ronaldo ni kirusi..Kwa sababu ya pressure ya mashabiki timu kutofanya vyema uwanjani waneamua kumsikiliza kocha , Ronaldo anajua Hana chake pale na anapangwa Tu kucheza just kusawazisha upepo ...na yeye siyo Fala Kias hcho.... !!Hamna si kumuua
Kwa tabia hii anaweza kukosa deal za pesa matajiri watamkimbia