Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,107
- 53,624
Ameondoka Madrid kwasababu ya ego.Hakuna anayebisha kuhusu uongozi mbovu wa united,shida ya Ronaldo ni kama anatafuta huruma kwa fans.
Kumbuka summer jinsi alivoforce kutafuta timu uefa,mara asihudhurie pre season,mara atoke kabla ya game kuisha,mbaya zaid perfomance is poor.
Ego yake ndo ilimfanya akagombana na Mourinho way back Madrid,kaenda juve hivo hivo ,ego ego ego.
Aache utoto,nakumbuka hata enzi za Fagason pia akifanyiwa sub alikua anazira zira kama mwanamke.
Akwendeeeee
Ataondoka United na hakuna atakaetamani kufanya nae kazi.