Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

IMG_2340.jpg

Huyu jamaa ni mnyama sana
 
Kikosi kiko vizuri sana. Shida yake hajui nani yuko on-fire aanze. Wachezaji wana msimu, kuna wakati mchezaji anakuwa wa-moto sana inatakiwa wakati huo aanza kila mechi. Wiki tatu zilizopita Fred alikuwa moto wa kuotea mbali, lakini akaamua kumuweka benchi mazima. Kweli unamuweka bench Garnacho unaanza na Elanga!!!

Hata elanga hakuwa vibaya hakukuwa vizur kwenye umaliziaji kipind cha kwanza kama kungekuwa na umakini si chini ya goli 3 zingepatikana hapo tayar timu pinzan inatoka mchezon pia shida bruno hakuwa kwenye kiwango kizur leo halafu hata kukosekana kwa dalot ni shida
 
Ila kiukweli mie kuna vitu MARTINEZ ananikera sana. Anatoa pasi mbovu sana wakati timu ikiwa imepanda juu.

Ukitaka kuelewa aina ya mipira ninayoongelea angalia Match ya EPL vs Aston Villa goli la 3 MUFC wanafungwa.

Pia leo kafanya uzembe kama huo tukakoswa.
Martinez hapondeki, ni kichaa pekee anayeweza kumponda mchezaji anayefanya kosa moja lkn mazuri mia moja.
 
Wamesave sana aisew sasa naelewa Fulham walimfungaje liverpool vijana wanasakata boli hasa wakiwa home ila kwa city walipigwa 4+ nachukiaga sana
Walipigwa 1-2 na city alie wapiga 4 ni Newcastle
 
Kwa kikosi bado tumepata ushindi bas kocha akipata wachezaji anaowahitaji msimu ujao timu itatisha hii
Endeleeni kudanganyana ,ametumia £252m kusajiri wazee wawili , yule belie average player malacia , Anthony mchezaji wakawaida tu, Martinez Ndiye kalamba dume

Hawa wazee wawili Eriksen na casemiro mtahitaji Tena warith wao sio muda

Kocha wenu mechi nyingi janja janja nyingi
 
Kushinda mechi ni janja janja lazima ziwepo
Ila huyu kocha kama watu wa usajili wakikaa vizuri na kupata wachezaji wanaostahili atafikisha timu mbali
 
Ana makosa mengi mno siku hz, sijui kawaje aisee, sio Bruno yule wa Sosha.
Kuna mawili. Moja, wachezaji wengi wameshaweka akili zao Qatar; jinamizi la majeruhi kwa baadhi ya wachezaji limewafanya wawe waangalifu. Pili, kwa kuwepo kwa Eriksen ile 'shine' ya Bruno huwezi ona, maana kuna mtu mwingine mwenye kufanana naye. Players go through some small dips occasionally; that doesn't mean ati "amekuwa wa hovyo" kabisa!!
 
Kama unajua unajua tu mkuu hakuna cha kusema kaja flani cjui kaja nani, hakuna kitu kama hicho. Kuna watu walikuwa wansema kuja kwa Ronaldo kumemaliza kiwango cha Bruno, kiaje? Wewe leo unasema kuja kwa Ericksen, sio kweli kabisa.

Pale Madrid alikuwepo cr7, ilikuwa hata aje nani jamaa ndio alikuwa mwamba pale kwa misimu yote aliyokuwepo pale, na pale Barca alikuwepo Leonel, hata aje nani jamaa alikuwa juu tu, zaidi zaidi hao waliokuwa wanakuja ndiyo walikuwa wanapambana kutengeneza bond na hao viumbe ili wapate nafasi ya kuwa kwenye first eleven. So, ku flop kwa Bruno hakuhusiani na ujio wa yeyote yule zaidi ya yeye mwenyewe kushindwa kutunza kiwango chake.

Na hapo inawezekana huenda jamaa sifa zilimlevya au ameongeza sana starehe hasa mbususu kuliko kufanya mazoezi.
 
To all Red Devils,

Let us be realistic a bit. Do we expect to be at Man Shitty's form this soon?
I believe it is a process; ETH is doing a fantastic job so far. He needs time and to get more players of his like.
Then the Red Army will be matching to its glory days as it should be.

Yes, we get frustrated as fans with lineups, results, performances etc.. But, calling the boss and players as shit, isn't right.
 
Kama unajua unajua tu mkuu hakuna cha kusema kaja flani cjui kaja nani, hakuna kitu kama hicho. Kuna watu walikuwa wansema kuja kwa Ronaldo kumemaliza kiwango cha Bruno, kiaje? Wewe leo unasema kuja kwa Ericksen, sio kweli kabisa.

Pale Madrid alikuwepo cr7, ilikuwa hata aje nani jamaa ndio alikuwa mwamba pale kwa misimu yote aliyokuwepo pale, na pale Barca alikuwepo Leonel, hata aje nani jamaa alikuwa juu tu, zaidi zaidi hao waliokuwa wanakuja ndiyo walikuwa wanapambana kutengeneza bond na hao viumbe ili wapate nafasi ya kuwa kwenye first eleven. So, ku flop kwa Bruno hakuhusiani na ujio wa yeyote yule zaidi ya yeye mwenyewe kushindwa kutunza kiwango chake.

Na hapo inawezekana huenda jamaa sifa zilimlevya au ameongeza sana starehe hasa mbususu kuliko kufanya mazoezi.
Sasa boss, unataka kusema Bruno hajui ama? Nimesema kuja kwa Eriksen kumemaliza kiwango cha Bruno? Eriksen kapunguza kuonekana kwa Bruno. Cheki stats hizi, na hapa wote wana games sawa 13 za EPL.

Screen Shot 2022-11-13 at 21.03.52.png

Hizi ni za League cup:
Screen Shot 2022-11-13 at 21.10.42.png

Hizi ni za Europa:
Screen Shot 2022-11-13 at 21.11.48.png

Sasa hapo huoni jinsi Eriksen alicholeta kwenye timu, ambacho Bruno alikuwa akifanya?
As long as wote wanachangia kwenye timu, kama shabiki unataka ni zaidi?

Hao watu wanaosema Ronaldo kammaliza Bruno wanatumia stats zipi?

Sasa hayo ya sifa na wanawake siyo ya kisoka, ni yako tu.
 
Back
Top Bottom