Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nawaona Newcastle United pamoja na Eddie Howe nafasi ya nne msimu huu.
Nilisema siku ya kwanza kabisa wakati ligi inaanza msimu huu. Hawa jamaa kuna kitu kikubwa sana kinapikwa pale.

Wana vichwa vimetulia sana kuanzia wamiliki, watendaji wa kila siku (Dan Ashworth) na safu nzima ya benchi la ufundi ikiongozwa na Eddie Howe.

Pesa ni muhimu ktk kujenga timu ila kitu cha muhimu sana ni brain nyuma ya hiyo pesa ndio muhimu sana. CEO na director of football hawa ndio kila kitu ktk mafanikio ya timu. Kinachoonekana uwanjani ni vision ya hawa watu.
 
Upo sahihi 100%, ona Chelsea walitumia £300m kusajiri wachezaji ambao hawakujiandaa nao watacheza Aina gan ya football ,hawakuwa na DOF , Sasa hivi ukiambiwa Chelsea imemsajiri Cucurella £62m au Sterling £50m unaweza kubisha

Man u nawatamaniaga Sana mabosi wenu pesa wanamwaga tu ,dirisha moja mnatumia had £250m

Pale Arsenal Ni msimu juz Ndio Arteta Alipewa £150m

Msimu huu £120m

Newcastle nilisoma article moja jamaa wamejipanga kwenye Timu Yao kuanzia DOF had Kocha ,Ni Aina gan ya mpira wacheze na wachezaji gani wasajiriwe

Niliona wanazingatia hasa physicality, height , Ndio maana jamaa timu Yao haina mafundi wengi ukiacha kidogo kina Almiron, Maximin Hawa wazaman, ila kuanzia kina Burn, Botman hata Guimares wapo Vizuri kwenye physicality,

Wanasajiri kuendana na DOF , na Kocha anasemaje

Mtu anaweza kusema Ni sababu Wana pesa

Kuna Northgarm Forrest wametumia £155m msimu huu na wolves wametumia £150m , lakin wapo mkiani, Kama Forrest wamejisajiria ovyo ovyo,
 
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha[emoji16][emoji16]

Prediction

Fulham 1 vs Manchester united 3

Time

1.30 jioni
1668241626562.jpg
 
Upo sahihi 100%, ona Chelsea walitumia £300m kusajiri wachezaji ambao hawakujiandaa nao watacheza Aina gan ya football ,hawakuwa na DOF , Sasa hivi ukiambiwa Chelsea imemsajiri Cucurella £62m au Sterling £50m unaweza kubisha

Man u nawatamaniaga Sana mabosi wenu pesa wanamwaga tu ,dirisha moja mnatumia had £250m

Pale Arsenal Ni msimu juz Ndio Arteta Alipewa £150m

Msimu huu £120m

Newcastle nilisoma article moja jamaa wamejipanga kwenye Timu Yao kuanzia DOF had Kocha ,Ni Aina gan ya mpira wacheze na wachezaji gani wasajiriwe

Niliona wanazingatia hasa physicality, height , Ndio maana jamaa timu Yao haina mafundi wengi ukiacha kidogo kina Almiron, Maximin Hawa wazaman, ila kuanzia kina Burn, Botman hata Guimares wapo Vizuri kwenye physicality,

Wanasajiri kuendana na DOF , na Kocha anasemaje

Mtu anaweza kusema Ni sababu Wana pesa

Kuna Northgarm Forrest wametumia £155m msimu huu na wolves wametumia £150m , lakin wapo mkiani, Kama Forrest wamejisajiria ovyo ovyo,
We jamaa kichwa yako kwenye mpira
imejaa madini tupu.
Nikinunua timu daraja la pili nakuchukua uwe DOF, naimani baada ya misimu miwili timu yetu itapanda daraja, ndani ya miaka 5 nikiwa na wewe ninauhakika tunachukua kombe ligi kuu.
 
Leo tunashinda bila shaka ikiwa Ronaldo hatacheza.

Kwa Sababu kuna world cup, alafu yeye ni forward hatataka kuteseka akiumia je?

Yule pellistri aaminiwe leo, kuna wachezaji wengi leo ambao watacheza kimachale machale
 
Nahisi harufu ya damu humu Kuna jitu linaenda kupakatwa......ngoja nijenge mahema kabisa
 
Back
Top Bottom