Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Cristiano Ronaldo on Man Utd: "Nothing changed since I left. The pool, the jacuzzi, even the gym, even some technology. Even the chefs who I appreciate, lovely people". #MUFC

"I thought I would see new technology, infrastructure. I saw things I saw when I was 20!".
 
Bado kuna watu wataendelea kumtetea Ronaldo? Mchezaji kama huyu ni hatari sana kwenye timu. Ameisha na hataki kukubali ameisha, kiburi chake kinaweza kuua ari ya wachezaji kama kikilelewa.

Pongezi nyingi sana kwa EtH kwa kutokujali ukubwa wa jina lake, kwa MUFC sasa hivi Garnacho ni wa muhimu kuliko hata huyu 'Drama queen'
 
Pogba kashtumiwa sn alikua kirusi enzi xa mourinho ila hakuwahi kutoka public na kuongoe upuuzi aloongoea ronado kwamba hamuheshimu kocha.. hyo ndo proffesionalism???

Ronaldo ni selfish na mtu mwenye ego sn anapenda kutukuzwa na kuheshimiwa ata ambapo hastahili..

Madrid kaondoka kwa shali, juventus kaharibu then anakuja kumalizia man u..

Ni mpumbav pekee anaeza kutetea ujinga huu
 
Ronaldo was told on Thursday that he would not be in the starting XI against Fulham but he would have been in the squad. He told the club he was ill. No one at United has ever disrespected Ronaldo - even after he asked to leave & after he refused to come on as a sub v Spurs 3/3
 
Pogba kashtumiwa sn alikua kirusi enzi xa mourinho ila hakuwahi kutoka public na kuongoe upuuzi aloongoea ronado kwamba hamuheshimu kocha.. hyo ndo proffesionalism???

Ronaldo ni selfish na mtu mwenye ego sn anapenda kutukuzwa na kuheshimiwa ata ambapo hastahili..

Madrid kaondoka kwa shali, juventus kaharibu then anakuja kumalizia man u..

Ni mpumbav pekee anaeza kutetea ujinga huu
True..

Na mambo ya Glazer kila mtu anayajua..Yeye kuyaongea ni kutafuta tu sympath..

Yaani anasema waziwazi kuwa hamweshimu EtH!!!..

Mshenzi kabisa huyu jamaa.
 
Cristiano Ronaldo on Man Utd: "Nothing changed since I left. The pool, the jacuzzi, even the gym, even some technology. Even the chefs who I appreciate, lovely people". #MUFC

"I thought I would see new technology, infrastructure. I saw things I saw when I was 20!".
Toka ameondoka ameacha jacuzzi moja limeziba mpk leo halijazibuliwa .....wapishi wao baada ya mazoezi wanawalisha Tu mihogo km yanga Kwann asilalamike
 
Piers Morgan has announced that he has interviewed Cristiano Ronaldo, in what he has described as the "most explosive interview" the player has ever given.

Cristiano Ronaldo: “I feel betrayed”

Cristiano Ronaldo: “I felt some people don’t want me here [Manchester United] not only this year but last year too.”

Cristiano Ronaldo on Ralf Rangnick: “If you’re not even a coach, how are you going to be the boss of Manchester United? I’d never even heard of him.”

Cristiano Ronaldo on Ten Hag: “I don’t have respect for him because he doesn’t show respect for me. If you don’t have respect for me, I’m never gonna have respect for you.”

Cristiano Ronaldo on Wayne Rooney: “I don’t know why he criticises me so badly…probably because he finished his career and I’m still playing at high level.”

Cristiano Ronaldo: “Since Sir Alex left, I saw no evolution in the club. Nothing had changed.”

Cristiano Ronaldo: “I think the fans should know the truth. I want the best for the club. This is why I come to Manchester United. But you have some things inside that don’t help (us) reach the top level as City, Liverpool and even now Arsenal.”

Cristiano Ronaldo: “I love Manchester United, I love the fans, they’re always on my side. But if they want to do it different… they have to change many, many things.”

Cristiano Ronaldo: “He [Sir Alex Ferguson] knows better than anybody that the club is not on the path they deserve to be. He knows. Everyone knows. The people who don’t see that… it’s because they don’t want to see; they are blind.”

Manchester United are likely to now consider all their options regarding Cristiano Ronaldo. Management and players don't understand why he has said what he has said. They are hugely disappointed that he would disrespect the club, his manager and teammates in this way. [Sky Sports]

Cristiano Ronaldo was told on Thursday that he would not be in the starting XI against Fulham but he would have been in the squad. He told the club he was ill. [Sky Sports]

#RonaLdoOUT
#GlazerOUT
#GGMU

manutd
 
Kama unajua unajua tu mkuu hakuna cha kusema kaja flani cjui kaja nani, hakuna kitu kama hicho. Kuna watu walikuwa wansema kuja kwa Ronaldo kumemaliza kiwango cha Bruno, kiaje? Wewe leo unasema kuja kwa Ericksen, sio kweli kabisa.

Pale Madrid alikuwepo cr7, ilikuwa hata aje nani jamaa ndio alikuwa mwamba pale kwa misimu yote aliyokuwepo pale, na pale Barca alikuwepo Leonel, hata aje nani jamaa alikuwa juu tu, zaidi zaidi hao waliokuwa wanakuja ndiyo walikuwa wanapambana kutengeneza bond na hao viumbe ili wapate nafasi ya kuwa kwenye first eleven. So, ku flop kwa Bruno hakuhusiani na ujio wa yeyote yule zaidi ya yeye mwenyewe kushindwa kutunza kiwango chake.

Na hapo inawezekana huenda jamaa sifa zilimlevya au ameongeza sana starehe hasa mbususu kuliko kufanya mazoezi.
MKUU UNAPOONGELEA VIWANGO VYA WACHEZAJI WA SASA JITAHIDI SANA SANA USIWALINGANISHE NA CR7, MESSI,PELE, MARADONA. JITAHIDI SANA SANA.
 
Ronaldo : " vyoo na mabafu yote pale OT ni ya zamani , uwanja unavuja ,Mimi sinyi soda lakin walikuwa wananilazimaisha kunywa mo energy "
 
Bado kuna watu wataendelea kumtetea Ronaldo? Mchezaji kama huyu ni hatari sana kwenye timu. Ameisha na hataki kukubali ameisha, kiburi chake kinaweza kuua ari ya wachezaji kama kikilelewa.

Pongezi nyingi sana kwa EtH kwa kutokujali ukubwa wa jina lake, kwa MUFC sasa hivi Garnacho ni wa muhimu kuliko hata huyu 'Drama queen'
ETH Anapongezwa kwa sasa ila najua muda si mrefu utamgeuka.umeshaambiwa tatizo la united sio Ronaldo wala ETH tatizo ni viongozi wa hii club hawataki kuwajibu kwa ajili ya future ya club tangu aondoke sir Alex Ferguson mpk leo hakina transformation ndo maana timu inafanya vibaya wamekuja akina pogba, van gal, mourinho,lukaku wote wameondoka wanasema uongozi wa club ni tatizo ndo maana timu haiendi top level leo ameongea Ronaldo tena bado mnabisha mtaendelea kusindikiza watu wanabeba mataji miaka na miaka ndo maana mnaitwa united fans hili swala mlibebe msiweke chuki tu dhidi ya Ronaldo ameongea ukweli hata kama hakutakiwa kuongea
 
Kupitia kauli za Ronaldo nimeanza kumuelewa Van Gaal na Mourinho.

Kuna mambo hayapo sawa.
United fans wenye akili kubwa tu ndo wanaweza kuanza kuelewa huu mchezo wengine wanamdiscuss Ronaldo discuss alichosema Ronaldo kimeshasemwa na watu wa ngapi ambao walikuwepo united ndo maana hii timu tangua aondoke fergie hakuna tena cha maana kinachoendelea
 
Ronaldo : " vyoo na mabafu yote pale OT ni ya zamani , uwanja unavuja ,Mimi sinyi soda lakin walikuwa wananilazimaisha kunywa mo energy "
Mda wa lunch huu , chawa wa man U wametoka ofsini wamepata mda wa kushika simu , angalia watakushukia kama mwewe 😁😁😁
 
True..

Na mambo ya Glazer kila mtu anayajua kuyaongea ni kutafuta tu sympath..

Yaani anasema waziwazi kuwa hamweshimu EtH..

Mshenzi kabisa huyu jamaa.
Nilikuwa naitafuta hii Comment mkuu, Kumponda Glazzer ni kutafuta tu huruma ya kuungwa mkono.

Ronaldo amekataa Kuingia Sub vs Spurs ni mechi ambayo tumecheza mpira wa maana kuliko mechi yoyote ile chini ya ETH.

Ameomba kufanya hii interview na imetolewa Exactly wakati wenzake wanashabikia ushindi na Fulham.

Akishinda Man U yeye vinamuuma huyu mtu ana Uchungu na Club? Anataka ushindi wote wa Man U upitie kwake,

Msimu uliopita wakati timu inafanya vibaya yeye anafunga alikuwa fresh tu, aliwahi pia kuwapiga madongo wenzie kwamba Tactic zina mchango mdogo wanatakiwa wajitume, ila sasa hivi mambo yamegeuka anaona kama Amesalitiwa.
 
United fans wenye akili kubwa tu ndo wanaweza kuanza kuelewa huu mchezo wengine wanamdiscuss Ronaldo discuss alichosema Ronaldo kimeshasemwa na watu wa ngapi ambao walikuwepo united ndo maana hii timu tangua aondoke fergie hakuna tena cha maana kinachoendelea
Hakuna timu pale , full siasa , hata huyo ETH ni suala la mda tuu,
 
ETH Anapongezwa kwa sasa ila najua muda si mrefu utamgeuka.umeshaambiwa tatizo la united sio Ronaldo wala ETH tatizo ni viongozi wa hii club hawataki kuwajibu kwa ajili ya future ya club tangu aondoke sir Alex Ferguson mpk leo hakina transformation ndo maana timu inafanya vibaya wamekuja akina pogba, van gal, mourinho,lukaku wote wameondoka wanasema uongozi wa club ni tatizo ndo maana timu haiendi top level leo ameongea Ronaldo tena bado mnabisha mtaendelea kusindikiza watu wanabeba mataji miaka na miaka ndo maana mnaitwa united fans hili swala mlibebe msiweke chuki tu dhidi ya Ronaldo ameongea ukweli hata kama hakutakiwa kuongea
Sawa mkuu lakini sasa hivi tupo kwenye Right direction,

Kama una mtoto anafanya vibaya darasani, ila kipindi cha karibuni anaanza kufanya vizuri, utam Encourage aongeze bidii ama utaanza kumfokea kwa makosa ya miaka iliopita?

Woodward kaondoka, tumesajili kwa ajili ya Kocha kuna wachezaji kama Antony wamesajiliwa kwa pesa ndefu ilimradi kumridhisha kocha, Wachezaji wote wapya wana mchango mkubwa sana, na wa zamani kama kina Dalot, Martial na Rashford wameongezeka viwango, watoto hao kina Garnacho wanakiwasha timu ipo kwenye njia nzuri, unaangalia mechi bila pressure, furaha imerudi vyote hivi ni vitu vya kupongezwa. Hatuwezi kuwajudge vibaya kama hii trend inaendelea, tutaongea vibaya kama huko mbeleni matatizo yatatokea tena.
 
Back
Top Bottom