Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,519
- 7,287
The guy is 30 now....bt whatever it is I dont care on his return!!Mkuu soma hiyo link. Inaelekea hukuisoma hiyo habari. Moyes ndo kasema ni re-occurrence. Sijazungumzia RVP kama atarudi lini, nilichokuwa nadokeza ni jinsi inavyokuwa vigumu kwa mchezaji kurudi katika hali yake ya mwanzo ya kiuchezaji baada ya majeruhi na ukizingatiwa ana umri wa miaka 28 na kuendelea. Sina maana ya ku-Wum