Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Feb 12 tutakavyopiga ubaya mrefu tukate ngebe

Ebu punguza msongo kidogo, naona umeumia kweli kwa United kushinda.

Umia zaidi na picha hizi.... ImageUploadedByJamiiForums1389473670.107602.jpg ImageUploadedByJamiiForums1389473839.008896.jpg ImageUploadedByJamiiForums1389473973.675718.jpg
 
Ndoto huwa zinatokea kuwa kweli. Miaka yote huwa tunaota tutamaliza ligi way ahead of you. Angalia mambo yanavyojipa msimu huu. Hata Liverpool, Spurs na Everton watamaliza juu yenu. Muda si mrefu mtaanza kugawana jezi kama Portsmouth

Kama kumaliza juu yetu imewachukua miaka 10,na ndoto ya kurudisha goli 8 itaendelea kuwa ndoto forever

article-2315719-1986F0C5000005DC-767_634x463.jpg

Angalia hapa mlikuwa mnampigia makofi bila kupenda
 
Kumbe ukumbi una watu huu!! Maana baada ya Kupigwa Hatrick ya mwaka huu alibaki Mdudu Nzi peke yake naona sasa hivi wameanza kumiminika.
 
Kwa utabili wako nani atakuwa EPLC Wa 2013-14.
NB: Bingwa mtetezi umeishamtoa.
Bado ni ngumu kujua lakini choice zipo kwa timu 3 tu zile za JUU kabisa...WNWA hawana chao hapo!! (Ukiacha ushabiki pembeni)
 
Re-occurrence plus age equal healing and fitness complications. Just think about it.

Hujielewi....uwe unasoma kwa makini kilichoandikwa.....

Mimi naongelea habari iliyozushwa na dolemeili kuwa ni uongo, wewe unaleta stori zingine.....

Hizo claptraps zako, Giggsey ameshazidefy, amekuwepo toka EPL imeanza, amechukua ubingwa mara 13 na hadi sasa bado anacheza.....sasa sijui unaongea nini....
 
Mkuu soma hiyo link. Inaelekea hukuisoma hiyo habari. Moyes ndo kasema ni re-occurrence. Sijazungumzia RVP kama atarudi lini, nilichokuwa nadokeza ni jinsi inavyokuwa vigumu kwa mchezaji kurudi katika hali yake ya mwanzo ya kiuchezaji baada ya majeruhi na ukizingatiwa ana umri wa miaka 28 na kuendelea. Sina maana ya ku-Wum
 
Back
Top Bottom