Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wigan walishinda FA CUP now wako Championship,na inaweza kupita hata miaka 10 wasirudi.Tumepata point 6 na magoli 6 kwa Swansea
You are probably right. But you can take in account Wigan were surviving the relegation battle by threads in two or three consecutive seasons before going down.
 
Get well RvP, goons' killer.... ImageUploadedByJamiiForums1389470785.822606.jpg
 
Atakuwa anajiuliza yaani nimekimbia Gooners for this? Kwa mwendo huu anaweza akakosa World Cup. Mnajua atarudi kucheza mechi 2, 3 afu ataumia kwa mwezi au miezi 3. Huyo ndo Rapist Van P[/QUO
Utakalia hayo hayo mwenzio tayari ana medali ya ubingwa,alichoka kuwa msindikizaji kwa miaka 7 na mtamchukia sana maana kila akikutana na nyie lazima awapige goli.
 
Mshikaji ulishawahi kuwasikia wapenzi (british) wa Man utd wanavyo wa rate Welbeck na Valencia?

I don't give a dang....as long as they are banging goals for the good of the team

I wonder if fans' reactions could be deciding players' fate, where would Ramsey be now?!?
 
Atakuwa anajiuliza yaani nimekimbia Gooners for this? Kwa mwendo huu anaweza akakosa World Cup. Mnajua atarudi kucheza mechi 2, 3 afu ataumia kwa mwezi au miezi 3. Huyo ndo Rapist Van P[/QUO
Utakalia hayo hayo mwenzio tayari ana medali ya ubingwa,alichoka kuwa msindikizaji kwa miaka 7 na mtamchukia sana maana kila akikutana na nyie lazima awapige goli.

Bora umwambia huyo goon.....
 
Utakalia hayo hayo mwenzio tayari ana medali ya ubingwa,alichoka kuwa msindikizaji kwa miaka 7 na mtamchukia sana maana kila akikutana na nyie lazima awapige goli.

Feb 12 tutakavyopiga ubaya mrefu tukate ngebe
 
Atakuwa anajiuliza yaani nimekimbia Gooners for this? Kwa mwendo huu anaweza akakosa World Cup. Mnajua atarudi kucheza mechi 2, 3 afu ataumia kwa mwezi au miezi 3. Huyo ndo Rapist Van P

Utakalia hayo hayo mwenzio tayari ana medali ya ubingwa,alichoka kuwa msindikizaji kwa miaka 7 na mtamchukia sana maana kila akikutana na nyie lazima awapige goli.
 
Utakalia hayo hayo mwenzio tayari ana medali ya ubingwa,alichoka kuwa msindikizaji kwa miaka 7 na mtamchukia sana maana kila akikutana na nyie lazima awapige goli.

Feb 12 tutakavyopiga ubaya mrefu tukate ngebe

Tumeshazoea hizo ndoto zenu kila msimu mnaota
 
Ndoto huwa zinatokea kuwa kweli. Miaka yote huwa tunaota tutamaliza ligi way ahead of you. Angalia mambo yanavyojipa msimu huu. Hata Liverpool, Spurs na Everton watamaliza juu yenu. Muda si mrefu mtaanza kugawana jezi kama Portsmouth
 
Nadhani mnaendelea kuota ndoto nyingi:- ya kutwaa UEFA, kujenga uwanja mkubwa kama OT, kutwaa EPL @20+, kutwa WCCC. Mkija kutimiza zote hizi utakuwa ajuza.
 
Back
Top Bottom