View attachment 131656
....Dahhh?....
Maskini, wenye nyumba hii sijui limewafika lipi...!
Cc; BAK Wacha1 pierre.fm Balantanda Viper Sizinga Wandugu Masanja Rejao Mentor?
....kumetokea nini mtaa huu?
Mfungwe tu...
Ndio. Maana sasa tumewachoka
Glad to see Lingard on the bench; the kid got skills.
Majeruhi wamezidi kule mbele bora amerudi
man u naona mwaka huu mmeshikika
maneno yenu sawa na uzi wa buibuiman u naona mwaka huu mmeshikika
Kagawa amepewa tena nafasi, asipoitumia na leo huenda akauzwa mwisho wa msimu