Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

arsenè wenger sio kwamba alikuja arsenal akiwa hana jina. Jina alikua nalo sana alikua kocha wa monaco alipowaibua vipaji vya henry,trezeguet na wengineo kabla ya kutimkia japan ndo akaenda pride of london (arsenal)

Sasa kwanini goons hawakumchukua baada ya kuona mafanikio yake Monaco?!?

Ebu ngoja kwanza, kwahiyo mafanikio yake yalikuwa ni kuibua vipaji vya akina chogo?!? Hayo ndiyo mafanikio yaliyoivutia goons? Kwamba "huyu kocha atatufaa kwa sababu aliibua vipaji vya akina chogo"....huo ndiyo msingi wa maamuzi ya bodi ya goons!!!

Now wonder the club is nicknamed as Arsenal Financial Company.....

Amekuja kuibua vipaji, na kuviuza ili kupata faida......hilo ndilo lengo la bodi ya goons kumwajili Arsene Chenga.....

#Amazing
 
......ndio #Mzoee sasa, maelezo meeeeeengi!
Sisi tunaelewa sana hiyo, mnachoudhi ni hizi tafsiri zenu kwenye hiyo transition in English Dictionary:

1. Hope: When you move from position 8 to 6 after several games with unknowns.

2. Blindness: When you see Arsenal in 6 when they are actually 1

3. Naïve: When you think you will catch Liverpool after they are done with the top 4 business

4. Misery: when you play just to qualify for a Europa position

5. Stupidity: when you hire a middle table manager and expect to defend the league

6. Reality: When Everton is above you after selling their dull manager to you

7. Denial: When you prophecy that Arsenal will be number 4 by 1 January 2014

8. Clueless: when you are ganyuliraling Newcastle and support your enemy (in Arsenal) to win

9. Religious: when you pray for Arsenal to lose!

10. Failure: When Arsenal is on top against your wishes

11. Barbaric: When you are angry with this post! period,

Oki doki.....
 
Chifu kuhus save ya Lloris maybe me ckuifutilia vizuri
But kuhusu young ni ukweli kuwa kazidi kudive na ndio maana muda mwingine inawawia vigumu saana kwa marefa kufanya maamuzi ya kutoa penalty kutokana na tabia (mazoea) aliyojijengea Young ya kupiga mbizi uwanjani.
By the way Januzaj kaendelea kuweka rekod ya kupokea kadi za njano kutokana na diving though hupenda kumtetea kuwa ni mtoto anaepusha majeraha but ts too much bro.


Chifu, unazifahamu sheria 17 za soka?

Katika sheria hizo, sheria namba 14 inazungumzia suala la penati.

Katika sheria hiyo, sijaona sehemu inayosema kwamba refa hatotoa penati kwa mchezaji mwenye tabia (mazoea) ya kujifanya amefanyiwa foul!!

Kwa upande mwingine, nimekuuliza, sasa kama Young alijiangusha, kwanini hakupewa kadi ya njano? Kama alijiangusha anastahili kadi ya njano kwani alidai kufanyiwa foul, sasa kama ilikuwa ni simulation, basi Webb angempa kadi ya njano.

Chifu, tuzungumze kama wapenzi wa soka; tukizungumza kinazi, hatutaelewana.

Kuhusu Januzaj, naona #haters inawauma sana kwa #ManUnited kuwa na kawaida ya kuibua vipaji vya hali ja juu toka miaka ya 1930. Dogo ni levo nyingine, hiyo ya diving, ni jaribio la #haters kutaka kudivert attention (juu ya uwezo wa hali juu ya dogo); lakini hamtakafanikiwa.......The kid is just 18 years old, but almost becoming an influential player for #ManUnited
 
I thought it would be interesting to share with you some SAF's views on his competition with Arsene Wenger. His views are coming from his autobiography in chapter thirteen.

Here are some of the best views from the chapter:

1. On Wenger complaining about congestion in the league fixture.

A foreign coach who comes in and thinks he can play 55 games a season in our League without adjusting is kidding himself. It's a gruelling, energy-sapping League. That's why, in the modern game, you have to change the team to spread the load. Arsène learned to adapt to that culture. He overcame the early shock of playing Saturday, Wednesday, Saturday.

2. On Wenger's first game vs. #ManUnited at OT

The first time his Arsenal side played us at Old Trafford, he came into my office. Our relationship was fine at first. The problems started when he lost a game with one of his good Arsenal sides. He found it hard to accept fault in his team and looked to blame the opponent. He would often do it by concentrating on physical challenges. It was hard for him to accept that opponents might adopt a robust approach against his men. His interpretation of physical challenges extended sometimes to the very act of tackling. He would fix in his mind the idea that no one should actually be tackling his boys.

3. On Wenger's worst disciplinary records with Arsenal


They had one of the worst disciplinary records in football in Arsène's early years, but you could never say they were dirty players or a dirty team. Steve Bould and Tony Adams would kick the life out of you – everyone knew that. They would come through the back of you all the time. But in essence, his teams were never filthy. Volatile and macho would be a more accurate term. They were a combative bunch. Bould and Adams, I've mentioned. Then they bought Patrick Vieira, a big competitor who could mix it, get about people. And Nigel Winterburn was a bit of a nark; always chipping away. Ian Wright, their leading striker in those early days, also had a nasty streak.

In 2010, Arsène delivered a surprising criticism of Paul Scholes, telling reporters he had a ‘dark side'. There was no reason for him to pronounce on one of my players. We were not due to play Arsenal that week, and there had been no friction between us. At that time Paul Scholes had won ten Premier League titles and a European Cup, and there was Arsène discussing his ‘dark side'. Baffling.

4. On Wenger and Arsenal anger after #ManUnited ended their 49-game unbeaten record

My recollection of that fabled incident is that when Ruud van Nistelrooy came into the dressing room, he complained that Wenger had been giving him stick as he left the pitch. Right away I rushed out to say to Arsène: ‘You leave my players alone.' He was incensed at losing the game. That was the reason for his combative behaviour.

‘You should attend to your own players,' I told him. He was livid. His fists were clenched. I was in control, I knew it. Arsène had a thing about Van Nistelrooy. I remember him saying he'd had a chance to sign Ruud but had decided he was not good enough to play for Arsenal. I agreed with him in the sense that Van Nistelrooy may not have been a great footballer. But he was a great goal-scorer.

Anyway, the next thing I knew I had pizza all over me. They say it was Cesc Fàbregas who threw the pizza at me but, to this day, I have no idea who the culprit was.

The corridor outside the dressing room turned into a rabble. Arsenal had been defending a 49-game unbeaten record and had been hoping to make it 50 on our turf. It seemed to me that losing the game scrambled Arsène's brain.

5. On Wenger's philosophy to develop young players

We stayed on these parallel tracks right to the end. And of course we were united by a desire to find and develop young players in our own image.

Then again, Aaron Ramsey said before we played Arsenal one time that he had chosen Arsène's team over mine because Arsenal produce more players than #ManUnited .

I thought: ‘What world is he in?' I think a young boy can get manipulated into saying things. It was his own decision to reject United, and I have no problem with that. I thought he made the wrong choice, I must say, though he would have faced more competition at our place to make the first team. Arsenal had not produced many of their own players. They had developed players, which is not the same thing. They bought them from clubs in France and all over the place. The only truly homegrown player I could think of was Jack Wilshere.

Giggs, Neville, Scholes, Fletcher, O'Shea, Brown, Welbeck: all produced at #ManUnited .

Source: Alex Ferguson (2013). My Autobiography.
 
Mkuu acha kuchanganya mambo,hebu niambie Rodgers,Martinez na Pellegrin wamepata mafanikio yapi kwenye timu zao so far.Kumbuka SAF amekaa Man United miaka 27 kocha yeyote ambaye angekuja kumrithi lazima angepata taabu.Assesment nzuri ya kocha hufanywa kwenye msimu wake wa pili kwa sababu tayari anakuwa ametengeneza timu yake so hana kisingizio.
So far Roberto Martinez anatumia wachezaji ambao alinunuliwa na Moyes ukiondoa Lukaku,Barry na Deoflou ambao wako kwa mkopo
Mafanikio ya Martinez ni pamoja na kushinda Old Toilet kazi ambayo Noyes alishindwa kwa miaka zaidi ya 1o aliyokaa Goodson Park
 
Mkuu sijui kama umenielewa vizuri....Hao Makocha niliowataja ni wageni katika clubs zao kama alivyo MOYES...na misimu yao ya kwanza tu katika Club wameonyesha wanaweza kwa maana timu zao zinaleta Upinzani mkali katika ligi...kwanini na wao wasihitahi Muda wa mpito kuwajua wachezaji?

Halafu kama unanchekesha vile..Martinez kawakuta wachewaji wa MOYES?? Hii ndio sababu yako ya msingi kwamba team Toffees iinafanya vizuri?? Je Hao Manure ambao SAF amemwachia MOYES sio ndio waliobeba ndoo kabisa??
MOYES still kaachiwa wachezaji wazuri ambao ndio watetezi wa ligi...sasa hapo ndipo utakapoona ubovu wa MANURE under MOYES.

Anyway ngoja tuone msimu wa pili utakavyokuwa kama unavyosema kwamba atakuwa hana reason coz ashawazoea wachezaji...ila kumbuka msimu ushaanza with Another Loose at Home Pitch!!

Kwanza Brendan Rodgers yuko Liver msimu wa pili na sio wa kwanza kama unavyosema,nadhani umeona now anafanya vizuri kwenye msimu wake wa pili kumbuka msimu wa kwanza Liverpool ilishika nafasi ya 8 nyuma ya Everton ya Moyes

Steve Clarke(West Bromwich) na Michael Laudrup(Swansea) hawa last season wote ndio walikuwa wamepewa timu na timu zao zilishika nafasi ya 8 na 9 but msimu huu Swansea wako 13 na 14 na tayari Steve Clarke Ukisoma post ya Nzi ameelezea sababu ambazo zimefanya Man United kuwa katika hali hiyo
 
Last edited by a moderator:
Mafanikio ya Martinez ni pamoja na kushinda Old Toilet kazi ambayo Noyes alishindwa kwa miaka zaidi ya 1o aliyokaa Goodson Park
Kuifunga Man United Old Trafford ni mafanikio? AVB na Steve Clarke wote wameifunga Man United Old Trafford lakini wamefukuzwa kazi
 
''Manchester United manager David Moyes sees tenure marked by £220m being wiped off stock market valuation

Manchester United manager David Moyes' failure to chase down Premier League's top four has seen the club's worth tumble by £220m in a month ..... ...... ....... ........ ......''




Get me out of here mourns Mo No .... ....



1555372_884773344896216_1268286490_n.jpg



Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee


kny Mentor i n g I d i o t s ..... ...... ......

 
#ManUnited could face Birmingham or Bristol Rovers vs. Crawley in the 4th round.

Of course, if United beat Swansea later today.
 
Kuna watu wanachonga lakini hawana kitu.
Wangekuwa na mafanikiokama ya United sijui kama mitaani kungekalika
 
#ManUnited XI: Lindegaard; Smalling, Evans, Ferdinand, Büttner; Valencia, Fletcher, Cleverley, Kagawa; Welbeck, Hernandez.

#ManUnited Subs: De Gea, Fabio, Anderson, Carrick, Giggs, Zaha, Januzaj.

Twende sasa #ManUnited
 
#ManUnited XI: Lindegaard; Smalling, Evans, Ferdinand, Büttner; Valencia, Fletcher, Cleverley, Kagawa; Welbeck, Hernandez.

#ManUnited Subs: De Gea, Fabio, Anderson, Carrick, Giggs, Zaha, Januzaj.

Twende sasa #ManUnited

Leo Uchochoro Ferdnand kaanza...
Naona taabu atakayoipata kumzuia Bonny....
Game nzuri sana hii kutazama....
 
Katika soka kuna matokeo ya aina 3: kushinda, kufungwa au kutoka sare.

Kama unaelewa hayo, huwezi kuuliza matumizi ya neno, 'kama'.

Twende sasa #ManUnited

......just winding you up ppl,
Dont take it personal....

Haya, muwe na Jumapili njema.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
......just winding you up ppl,
Dont take it personal....

Haya, muwe na Jumapili njema.

I would never take it personal.....

As I know this is just football....

Cheers goon.....
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom