Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wewe kua muwazi tu! Usijifiche!

Leo Lazima unyingwe na huyo Moyes wenu wanamfukuza Leo!

Wewe huoni mpk saizi wenye Uzi wamejificha Darini?

Pole Yao mashetani weupe!

pole gan mkuu

angalia vizur,man.u anafukuza mwz kimyakmya
 
Hii timu kwishney kabisa! Na j2 tunawafunga ndio wachukue maamuzi magumu ya kumfukuza Moyes!

Ni kweli, kumfukuza Moyes ni uamuzi mgumu. Arsenal ndio kbs wamemshindwa Arsene, kwa miaka hii 9 aliyokaa bila hata kombe la mbuzi.
 
Man United XI: De Gea; Rafael, Evans, Vidic, Evra; Valencia, Carrick, Jones, Young; Januzaj; Welbeck.

Subs: Lindegaard, Giggs, Smalling, Hernandez, Cleverley, Fletcher, Kagawa

Let's do this #ManUnited
 
ImageUploadedByJamiiForums1390145941.972999.jpg ImageUploadedByJamiiForums1390145982.607678.jpg

Let's do this #ManUnited
 
Man United XI: De Gea; Rafael, Evans, Vidic, Evra; Valencia, Carrick, Jones, Young; Januzaj; Welbeck.

Subs: Lindegaard, Giggs, Smalling, Hernandez, Cleverley, Fletcher, Kagawa

Let's do this #ManUnited

Moyes angeanza na Kagawa badala ya Young. Man Utd huwa wanacheza vizuri Kagawa akianza Midfield. Hii ni moja ya mechi ambayo ntaisapoti kwa manufaa yasiyo ya Man utd.
 
Moyes angeanza na Kagawa badala ya Young. Man Utd huwa wanacheza vizuri Kagawa akianza Midfield. Hii ni moja ya mechi ambayo ntaisapoti kwa manufaa yasiyo ya Man utd.

Young kaanza kwa ajili ya kumpa tafu Evra.....Patty amechoka siku hizi....ningependa kama Buttner angeanza badala yake.....

Ila makocha ndiye wanaojua performance ya wachezaji mazoezini....hivyo yote sawa.....
 
Weka panadol karibu maana kichwa kitaanza kuuma sasa hivi
 
WTF, that could have been 1-0 by Young.....good start by United.....corner 2nd min
 
Back
Top Bottom