Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nimeitazama tena game ya jana...Aise ile pass ya Bruno Fernandez kwenda kwa Rashid ni ya kiwango cha namna yake.

Ile pass ingepigwa karne ya 17 huko, ingetosha kabisa kuzuia biashara ya utumwa...Dah! What a pass!!!?
Alipiga pass outer Fulani dah moyoni nikajisemea laiti huyu jamaa angekua mchinjaji angekua katili sana
 
Hakika kipigo hua kinalewesha, tena haswa ukipigwa palepale kwenye mshono.
Screenshot_20220905_143106.jpg
 
Ndio Hilo ckatai lakin matajiri wa kiarabu Ni tofauti nawakizungu, mfano mzuri nikwamahasimu wetu wa liverpool. Hivi hao matajiri na wamiliki wa liverpool huoni upumbavu walioufanya kumwachia Sergio mane kisa anademand kuongezewa mshahara.

Na ukiangalia mane amechangia pakubwa katika mafanikio ya hivi Karibuni kwa Liverpool, Sasa jiulize why wagome kumwongezea mshahara hivi huoni Ni upumbavu kiasi gani walionao hao wazungu wamiliki wa liverpool yaan mane alikua anazidiwa mshahara Hadi na keita. Afu jiulize Kati ya keita na mane Nani alikua na mchango mkubwa kwa klabu.

Nabado alikua na mapenzi na klabu angalia now yupo Bayern anachokifanya nibora angekua kaflop apo ingekua sawa.
Tofauti ipo ila ni ndogo sana ya matajiri wa kizungu na waarabu. Tofauti ni priority.Baada ya kufanya vizuri liverpool wakaona hata wakiuza major player wataweza kuziba pengo lake.
Yaan hawatopata shida, ( japokuwa sijui kama hili lina baraka za clop)

Sidhani kama walishindwa kumuongezea mshahara ila waliona watapata pesa zaidi kama wakimuuza.
Once again its down to views za matajiri
Na mabadiliko ya soko yakoje.
 
Halikua na Baraka ya clop hata kidogo na huyo clop mwenyewe iposiku atashindwa vumilia na kuondoka.
 
Tofauti ipo ila ni ndogo sana ya matajiri wa kizungu na waarabu. Tofauti ni priority.Baada ya kufanya vizuri liverpool wakaona hata wakiuza major player wataweza kuziba pengo lake.
Yaan hawatopata shida, ( japokuwa sijui kama hili lina baraka za clop)

Sidhani kama walishindwa kumuongezea mshahara ila waliona watapata pesa zaidi kama wakimuuza.
Once again its down to views za matajiri
Na mabadiliko ya soko yakoje.
Hao wamiliki ni kituko Sasa pengo la mane kujakuliziba watastrugle sana niseme bado niwapumbavu cjaona sababu ya msingi ya wao kumuuza.
 
Mkuu naona kama wewe unauelewa kuhusu ile fantasy hebu tutoe tongotongo mimi sijui kitu yani naona mapicha picha kuhusu fantasy
Mwanaume unafutalia epl harafu hujui fantasy premier league Sasa msiwe mnawalaumu makocha ,maana hata kucheza fantasy hamuwezi ....

Kiufupi mkuu fantasy Premier league unapewa £100million unasajili wachezaji wa epl kutoka timu za epl 20 unazozijua wewe .... goalkeeper 2 ,beki 5 , midfielders 5, na forward 3 ...kwa hio pesa haitakiwi kuzidi hio Hela ..wachezaji wanakuwa sokon kwa bei zao kina salah ,kdb ,haaland ,mount ,Kane ,son .....wote...

Harafu weekend ikiwa inacheza epl unapanga kikosi ,then kuna rate na point unazopata kulingana na performance ya mchezaji ....!

Kuna fantasy Kila mwisho wa mwezi mshindi wa kwanza mwenye point nyingi anapata 400k,wa pili na tatu wanapata chochote ....

Kama unajua kupanga kikosi na upo vzuri unaweza kucheza kuanzia week ijayo epl ikirudi .....

Pia kuna fantasy kwenye uefa ...uefa inaanza kesho so ni wewe tu japo hii Haina watu wengi .....

Mfano hiki ni kikosi changu ,nasubili week ijayo kuvuna point
View attachment 2346768
 
Nilikuwa nimeielewa japo kidogo nilitaka tu uthibitisho tu kama kweli kuna mchele au story shukrani mkuu.
 
Confirmed #mufc Europa League squad:

De Gea, Heaton, Dubravka, Dalot, Wan-Bissaka, Varane, Martinez, Maguire, Lindelof, Tuanzebe, Malacia, Shaw, Casemiro, McTominay, Fred, Eriksen, Van de Beek, Fernandes, Pellistri, Antony, Rashford, Sancho, Martial, Ronaldo, Garnacho. [men]
 
Cjajua ana shida gani. Naona Antony ameingia dorect kwenye 1st eleven
Mashabiki wa United tunapenda kulalamikia sana vikosi bila hata kuangalia basics kadhaa zinazomfanya kocha aweke kikosi anachotaka uwanjani.

Squad ambayo ameanza nayo ndiyo iliyompa ushindi katika mechi tatu mfululizo leo tunataka afanye mabadiliko???

Kikosi chetu bado hakijawa na muunganiko mzuri hivyo hauwezi kubadilisha kikosi kizembe namna hiyo.

Kwanini Anthony kaanza moja kwa moja ni kwa sababu amekuwa chini ya Ten Hag kwa misimu miwili zaidi hivyo anazifahamu vyema mbinu za Mwalimu kuliko Casemiro.
 
Nadhani ni wakati sasa tuanze kumkubali Scott, pengine kuna kitu makocha wanaona na sisi hatukioni. Binafsi sikutamani kumuona uwanjani leo.
Kitu ambacho hamkioni ni Energy na fighting spirit lakini anaweza kucheza maeneo mengi uwanjani kwa usahihi wakiinterchange positions.

Ana offer aerial quality kwenye high balls kumbuka Martinez ni Valbuena anayecheza defence.

Physical presence kwenye midfield.

Kocha tunapofanya transition ni Eriksen ndiyo anayebaki deep Scot anapanda kwenda kukabia juu wakati huo passing quality ya Eriksen inatusadia kuretain possession.
 
Nimeshangaa sana leo, nimepiga round kwenye nyuzi za Chelsea, Arsenal, na Liverpool nimekuta mashabiki wa Manchester, watu ambao sijawahi waona wakifanya kitu cha namna hiyo hapa japo kwa kulipizia, wakitukana watu randomly.
 
Kitu ambacho hamkioni ni Energy na fighting spirit lakini anaweza kucheza maeneo mengi uwanjani kwa usahihi wakiinterchange positions.

Ana offer aerial quality kwenye high balls kumbuka Martinez ni Valbuena anayecheza defence.

Physical presence kwenye midfield.

Kocha tunapofanya transition ni Eriksen ndiyo anayebaki deep Scot anapanda kwenda kukabia juu wakati huo passing quality ya Eriksen inatusadia kuretain possession.
Ni bahati sana scot jana hakuchezea red, alikuwa kama amechanganyikiwa, yaani hata kama ni kupigania namba sio namna ile aisee. kuna moja alijifanya mamba akajiviringisha kwa mtu, sasa nikasema huu sio mpira sasa.
 
Back
Top Bottom