Fene
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 2,896
- 4,685
Umetumwa nini wewMaguire will be back!!
Hii game inamuhitaji Maguire ingawa hana kasi za kukabiliana na Jesus ila ana uwezo mkubwa wa ku anticipate na kublock penetration passes kutoka kwa viungo wa Arsenal. Pacha yake na Martinez itasaidia.
10hag bring him back.
Maguire!!


12:30 jioni
