Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Confirmed #mufc Europa League squad:

De Gea, Heaton, Dubravka, Dalot, Wan-Bissaka, Varane, Martinez, Maguire, Lindelof, Tuanzebe, Malacia, Shaw, Casemiro, McTominay, Fred, Eriksen, Van de Beek, Fernandes, Pellistri, Antony, Rashford, Sancho, Martial, Ronaldo, Garnacho. [men]
 
Cjajua ana shida gani. Naona Antony ameingia dorect kwenye 1st eleven
Mashabiki wa United tunapenda kulalamikia sana vikosi bila hata kuangalia basics kadhaa zinazomfanya kocha aweke kikosi anachotaka uwanjani.

Squad ambayo ameanza nayo ndiyo iliyompa ushindi katika mechi tatu mfululizo leo tunataka afanye mabadiliko???

Kikosi chetu bado hakijawa na muunganiko mzuri hivyo hauwezi kubadilisha kikosi kizembe namna hiyo.

Kwanini Anthony kaanza moja kwa moja ni kwa sababu amekuwa chini ya Ten Hag kwa misimu miwili zaidi hivyo anazifahamu vyema mbinu za Mwalimu kuliko Casemiro.
 
Nadhani ni wakati sasa tuanze kumkubali Scott, pengine kuna kitu makocha wanaona na sisi hatukioni. Binafsi sikutamani kumuona uwanjani leo.
Kitu ambacho hamkioni ni Energy na fighting spirit lakini anaweza kucheza maeneo mengi uwanjani kwa usahihi wakiinterchange positions.

Ana offer aerial quality kwenye high balls kumbuka Martinez ni Valbuena anayecheza defence.

Physical presence kwenye midfield.

Kocha tunapofanya transition ni Eriksen ndiyo anayebaki deep Scot anapanda kwenda kukabia juu wakati huo passing quality ya Eriksen inatusadia kuretain possession.
 
Nimeshangaa sana leo, nimepiga round kwenye nyuzi za Chelsea, Arsenal, na Liverpool nimekuta mashabiki wa Manchester, watu ambao sijawahi waona wakifanya kitu cha namna hiyo hapa japo kwa kulipizia, wakitukana watu randomly.
 
Kitu ambacho hamkioni ni Energy na fighting spirit lakini anaweza kucheza maeneo mengi uwanjani kwa usahihi wakiinterchange positions.

Ana offer aerial quality kwenye high balls kumbuka Martinez ni Valbuena anayecheza defence.

Physical presence kwenye midfield.

Kocha tunapofanya transition ni Eriksen ndiyo anayebaki deep Scot anapanda kwenda kukabia juu wakati huo passing quality ya Eriksen inatusadia kuretain possession.
Ni bahati sana scot jana hakuchezea red, alikuwa kama amechanganyikiwa, yaani hata kama ni kupigania namba sio namna ile aisee. kuna moja alijifanya mamba akajiviringisha kwa mtu, sasa nikasema huu sio mpira sasa.
 
Yes he is too physical sometimes lakini kwangu mimi namuona kwa kikosi chetu anafaa sana kuanza kila mchezo
 
Kituo kinachofata ni real sociedad
hawa jamaa wamekuwa sio wazuri kama zamani japo timu za Spain zinatusumbuaga sana.
20220906_094308.jpg
 
Mosimane hails Manchester United coach McCarthy after retweeting photo with Ronaldo​

Joel Omotto|05 Sept 2022 22:56+03:000

Manchester United coach Benni McCarthy.
Manchester United
African All StarsPremier LeagueB. McCarthyManchester United vs ArsenalManchester UnitedArsenalP. MosimaneSundowns Res.AmaZuluCape Town CityAl Ahly

The former Mamelodi Sundowns tactician is delighted to see the Bafana Bafana legend coaching at the highest level in England

Former Al Ahly head coach Pitso Mosimane has expressed his delight at seeing Benni McCarthy lift South African football's image with his work at Manchester United.
Mosimane was particularly pleased with a photo of McCarthy hugging Cristiano Ronaldo following United’s 3-1 victory over Arsenal in a Premier League match at Old Trafford on Sunday.
“Ahhh! Is this not beautiful for SA football?” Mosimane gushed online, in reference to the photo.
Article continues below

Erik ten Hag post Arsenal
Manchester United manager Erik ten Hag gives his thoughts to the media after his side's 3-1 win over Arsenal at Old Trafford.

Play Video

McCarthy was among the top trending topics online on Sunday with fans crediting him for the Red Devils’ recent upturn in form, especially in attack.
The former Bafana Bafana striker was added to Erik ten Hag’s backroom staff in July to specialise in coaching attacking plays and positioning and after a tough start that saw them lose two games without scoring, United have managed seven goals in four games while conceding just two over that period.
With the likes of Jadon Sancho and Marcus Rashford, who scored twice on Sunday, finding their scoring boots after struggling in front of goal last season, the fans felt ‘Benni’s magic’ has finally rubbed off on the players.
McCarthy had termed it a privilege to work at United during his unveiling, saying he expected the club to quickly turn the page and start challenging for trophies on all fronts.
“It’s a privilege and if you get the smallest opportunity that you get you must grab it with both hands,” McCarthy told the club’s in-house channel.
He added: “The mentality around the club is completely different. The manager has just brought that what has been missing over the last few seasons.”
United midfielder Bruno Fernandes also recently revealed the positive influence the former Cape Town City and AmaZulu coach is having on the team.
“He was quality as a player and is quality as a manager because we do many drills from finishing, headers many stuff, that he was really doing when he was playing and it can help us score some goals,” Fernandes said during an interview with SuperSport TV last month.
McCarthy took his first coaching job with Cape Town City in June 2017 and won his first trophy as coach when he guided them to the MTN8 title but he was dismissed in November 2019 after which he joined AmaZulu in December 2020 and qualified them for the Caf Champions League.

Source : Goal.com
 
Under ETH

timu iko spirit ya Hali ya juu
mfumo, bado haujakaa sAwa, sio kitu cha kuadapti siku moja
ameweza ku-control dressing room, hakuna mchezaji mkubwa kuliko timu!!
Ame-upgrade viwango vya wachezaji,,,mfano Scotty, rashford,bruno nae anaanza kubadilika, ,,,, !

Malengo yetu Ni big4#

Europa, FA, Carabao we can compete,,,,

Trust the process

#GGMU
 
Scot namuitaga MJEDA, namkubali sana huyu chalii, sio kama anajua mpira sana hapana! Huyu ni aina ya mchezaji all the time United inatakiwa kuwa nae. Hana mambo mengi ni kupambana kwa ajili ya timu.
Respect nyingi sana kwake
305557253_469289608440827_1677854214317877095_n.jpg
 
Uefa inaanza Leo mmesikia nyie nyumbu laana fc mwaka wa 5 sasa hata kombe lolote lile hamna afu Kuna watu bado wanashabikia hii timu kweli vichaa hawaishi Dunian
 
Ni bahati sana scot jana hakuchezea red, alikuwa kama amechanganyikiwa, yaani hata kama ni kupigania namba sio namna ile aisee. kuna moja alijifanya mamba akajiviringisha kwa mtu, sasa nikasema huu sio mpira sasa.
Scott ana mpira wa vurugu.

Akikushindwa lazima akuwashe.
 
Kitu ambacho hamkioni ni Energy na fighting spirit lakini anaweza kucheza maeneo mengi uwanjani kwa usahihi wakiinterchange positions.

Ana offer aerial quality kwenye high balls kumbuka Martinez ni Valbuena anayecheza defence.

Physical presence kwenye midfield.

Kocha tunapofanya transition ni Eriksen ndiyo anayebaki deep Scot anapanda kwenda kukabia juu wakati huo passing quality ya Eriksen inatusadia kuretain possession.
Mashabiki wa Manchester sasa tunaongea as if hatujamsajiri Casemiro.
 
Back
Top Bottom