Unajivunia ile Id yako nyingine.Nyumbu asipokufa hii game siingii humu JF miezi mitatu....
Dagaa haoKambaaaaaaaaa!!!!
Nilisema mapema.TEN HAG asipobadilisha kiungo hapo kati, hii game hatutoboi. Upande wa Malacia kunavuja balaa, Sancho kapotea hii game.
Unasikiliza kwenye radio nini?Kambaaaaaaaaa!!!!
Dogo asipotolewa tunapigwa za kutosha, Saka anavuma sana upande wake.Malacia kaziwa na Saka
Sijui kwanini kocha hataki kibadilisha kiungo hapo kati, Ericksen kapwaya tangu first half, Malacia nae leo game imemkataa kabisa.Hata kama sijui soka lakini Erickson anawakaba wenzake.