Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tunawakanda Tena ,hamna timu ya kucheza na Arsenal
Hivi Kuna mchezaji wa nyumbu anaingia kwenye kikos Cha Arsenal kwasasa?

Kesho tunawapigia samba

Na vile mnarukaruka pale Kati ,Xhaka lazima amsalimie degea
Unajisikiaje?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Leo Rashford ni Man of the match, amempokonya Anton hiyo heshima. Goli zote 3 anahusika.
Hata kama sijui soka lakini Erickson anawakaba wenzake.
kwangu mimi MOTM ni ni Eriksen, goli zote 3 ametengeneza yeye akitoa mpira kwenye wakati mgumu na kupeleka mbele, anafanya kazi ya Bruno na Attacker wengine kuwa rahisi sana.
 
Back
Top Bottom