Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 7,516
- 12,346
Ahahahaha afu anajiita kocha mchezajiWaandishi wetu View attachment 2345701
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahaha afu anajiita kocha mchezajiWaandishi wetu View attachment 2345701
Ngoja apewe muda 👍Mechi ya kwanza unataka uone nini?
Na amekupa na goli kabisa.
Si unajua tena wanasema first impression matters![]()

tumpe mda Epl ngumu.Aise!!!!Anton kafunga ila huyu jamaa kama hajatulia vileee thaman ya 100mil siioni hapa aiseeeee
Yah hata wakifungwa unaweza kutoka na kusema wamefungwa ila chenga twawala 😀Ukilinganisha na msimu ulipita, naona tunacheza mpira unaoeleweka.
Sina shida na ten hag, mabosi wampe wachezaji anaowataka uone balaa lake.
Sahivi unaenda kuangalia mpira na confidence.
Umeoziangalia hivyo vitu alipotoka? Haja adopt play style ya timu,na bado mgeni wa ligi halaf kwanza mechi ya kwanza.Dribbling tackling zake naona wa kawaida
Kitenge anadhihirisha kwamba yeye ni Kiazi na mtu wa kukurupuka aonekane wa kwanza kupost, matokeo yake ndo hayo maboko.Waandishi wetu View attachment 2345701
OkNyumbu asipokufa hii game siingii humu JF miezi mitatu....
Ana assists ngapi hivi?Rashford ni mzembe sana,hawezi hata kupambana ili kupata mpira
Hata kamaMbeleko fc
Hiyo yote tu imradi naye aonekane wakwanza kutoa updateWaandishi wetu View attachment 2345701
Yani kwa dk 45 hajafanya makosa na kafunga goli ila tayari umeona hana thamani?Anton kafunga ila huyu jamaa kama hajatulia vileee thaman ya 100mil siioni hapa aiseeeee
.Daaaah na jiran zetu wooote tumekula hasara 😄Yani kwa dk 45 hajafanya makosa na kafunga goli ila tayari umeona hana thamani?.
Waliomnunua Nunez waseme vipi?