Kwani ulikuwa hujui?Antony mtu wakuu
Saka kamtunza mfukoni dogo, lakini pia Man utd tunatatizo la kukabia macho hapo nyuma.
Mbeleko ipi mkuu angalia mechi gani 😂Mbeleko fc
Game ya kwanza tu unataka umuone messi mkuu?? Ni Bora kuliko elangaa so far.Anton kafunga ila huyu jamaa kama hajatulia vileee thaman ya 100mil siioni hapa aiseeeee
Awa wabovu wanajiona ka wamechukua ubingwaBora asenyeto abondwe ,wanakidomo domo Sana wale kenge ,wanajiona nao wapo levels za top four wamesahau level zao , I stand with nyumbu FC leo
Ndio kwanza mechi yake ya kwanza. Ligi mpya timu mpya.Anton kafunga ila huyu jamaa kama hajatulia vileee thaman ya 100mil siioni hapa aiseeeee
Dog FUTA huu ujinga huku sio fbView attachment 2345672
nimekula uzi wangu mapema kabisa



ipo siku utadhalilishwa na kipicha chako hikii@ModeratorNyumbu asipokufa hii game siingii humu JF miezi mitatu....
Atoke Rashford aingie Casamiro halafu Buruno acheze false 9Ila Rashford kama ndo mchezo wake huu ni Bora aingie Ronaldo tu sioni nini anafanya huko mbele hawezi hata kukaa na mpira.
Ile ilikuwa straight foul.Mimi shabik wa man ila VAR katili sana aisee![]()
Bado ana ugeni lakini huyu dogo ni hatari ..time will tellAnton kafunga ila huyu jamaa kama hajatulia vileee thaman ya 100mil siioni hapa aiseeeee