Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Arsenal kwa kifupi wame yakanyaga wanaingia kinyume nyume kwenye ghetto la OT, lazima arsenal awe wa mfano leo kujua tupo serious arsenal mje kabisa na jeneza.

Mmeya kanyaga wakina@Arone Ramsey leo lazima mdeki bahari leo lazima mpigwe dog style.

Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha


Prediction

Man united 3 vs Arsenal 0

12:30 jioni

Mpapaso leo ni lazima

#GGMU
View attachment 2344990
Bado kdg upatie
 
Ten Hag kuhusu Lisandro Martinez: "Nilimtaka kwa ajili ya kuanzisha mpira lakini pia ubora wake wa kukaba, ugumu wake, uzuri wa kujiweka mahali sahihi, akili yake, na upambanaji wake. Anafanya vizuri ila anatakiwa kufanya vyema zaidi.

====≈===
Imetafsiriwa na ukurasa wa man utd swahili
Kumbe kuna man utd swahili?
 
Tulijua
FD9A8477-DCBC-4CBF-8EF0-FDC3C1B05BFA.jpeg
 
Back
Top Bottom