Makubaliano binafsi Antony na sisi tayari wamebaki Ajax kukubali ofa ya pili ikitumwa. Hawa ndio aina ya wachezaji tunapaswa kusajili mwenye hamu ya kuja kucheza United.Sema tusiende kichwa kichwa...Ajax wanataka €100m..kitu ambacho naona sio..tuende nao taratibu ili dogo aje kwa dau ya chini ya hapo ili pia tumwondolee pressure.
Oooooohhh

