kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 6,925
- 18,106
Naamini chini ya ETH greenwood angeimprove,,,,, ndo ivo Tena[Hata game ya leo hakuwepo..
It may happen..
Greenwood ndo basi tena inavyoonekana
Naamini chini ya ETH greenwood angeimprove,,,,, ndo ivo Tena[Hata game ya leo hakuwepo..
It may happen..
Greenwood ndo basi tena inavyoonekana
Jombaa, In longrun tunawahitaji wote wawili ila kwa sasa anahitajika zaidi Antony.Hata game ya leo hakuwepo..
It may happen..
Greenwood ndo basi tena inavyoonekana
hahaha nenda nao taratibu toka lini nyumbu akawa na akiliKwahiyo ulitaka tuanze kwa kufungwa kama msimu ulipita kama unavyofungwa wewe?
Nyumbu zina akili mbovu kabisa!
Hiki kitu niliwahi kusema hawa jamaa walipoanza kuleta ushikaji tu katika kazi ndio walipoua timu.![]()
'The Glazers will be gone next year': Michael Knighton on owners
Knighton was an ambitious young property developer when he tried to buy United three decades ago, juggling the ball on the Old Trafford pitch to general astonishment, and was on the board for three years.www.dailymail.co.uk
2 years bila football...huyu Greenwood atakuwa the same kweli??Jombaa, In longrun tunawahitaji wote wawili ila kwa sasa anahitajika zaidi Antony.
Greenwood vs Antony upande kulia mwa uwanja halafu Sancho vs Elanga upande wa kushoto.
Endapo Greenwood akirejea ataleta balance nzuri sana ya timu kuanzia msimu ujao.
Wanajisemeaga eti class is permanent but form is temporary2 years bila football...huyu Greenwood atakuwa the same kweli??
Timu inaweza uzwa very ndani ya miezi 12 mpaka 24.Hiki kitu niliwahi kusema hawa jamaa walipoanza kuleta ushikaji tu katika kazi ndio walipoua timu.
Unampaje kilaza kama Ed Woodward akuendeshee klabu kubwa ya soka kama Manchester United?
Ndani ya miaka 10 ya Ed kama mtendaji mkuu wa timu thamani ya United imeshuka sana hatujashinda taji hata moja la EPL.
Sheikh Mansour anamchukua Ferran Sorriano kutoka Barcelona ya moto aje amuendeshee timu ndani ya miaka 10 chini yake Manchester City tayari wamebeba EPL 5 jumlisha na mataji mengine 10 chini yake yaani chini Ferran Sorriano City wamebeba makombe 15.
Ferran Sorriano alianza kazi na Ed Woodward kwa wakati mmoja walipishana miezi michache tu ila ndani ya miaka 10 tokea 2012 tayari Ferran Sorriano amebeba EPL 5, Ed Woodward mpaka anaondoka ofisini hajabeba hata moja.
Sina imani kama inaweza kutokea. Hawa familia ya Glazer wanajua sana kucheza na akili mashabiki.Timu inaweza uzwa very ndani ya miezi 12 mpaka 24.
Hizi figisu zitapamba moto soon.
Kiwango cha wachezaji huathiriwa na majeraha zaidi ila sbb za kufungiwa mara nyingi huwa ni saikolojia tu.2 years bila football...huyu Greenwood atakuwa the same kweli??
Anthony akija si atacheza huko kulia??..Kiwango cha wachezaji huathiriwa na majeraha zaidi ila sbb za kufungiwa mara nyingi huwa ni saikolojia tu.
Pia ukiangalia vizuri utagundua ni kama bado yupo ktk mipango ya timu ya muda mrefu ule upande wa kulia sioni nguvu iliyojaribiwa kuwekezwa.
