Forgotten
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,631
- 11,106
Ndiyo apewe mkataba wa 4 + 1 years? Salary £300K pamoja na transfer fee ya €70M.Ktk usajili kuna targets 3 kuu kwa ajili ya
Timu ikifanya usajili bila kuweka hiyo mix, itakwama tu kwenye mashindano
- Plan za muda mfupi (30+ yrs) - hawa ni wale wenye experience na ni wa muhimu kwa immediate impact kwenye timu
- Plan za muda wa kati (23-29yrs) - hawa ni wa muhimu kuiwezesha timu iwe na continuity nzuri kutoka kwa academy hadi kwa wazoefu
- Plan za muda mrefu (>23 yrs)- Hawa ni kwa ajili ya plan za 10+ years to come
Ndio maana sisi Chelsea kupitia uongozi mpya tumewekeza kwenye hayo malengo matatu niliyotaja
Hii mix Man U hamkuwa nayo kwa muda mrefu na ndio maana leo hii Man U imekuwa hovyo hovyo tu

Ila kwa kile kiungo acha Casemiro aje tu lakini United kuna mahali wanafeli.

Chelsea wamemsajili Thiago Silva akiwa na umri wa miaka 36. Usajili mkubwa. 
