DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,311
- 109,461
Kaka umelewa?Chelsea waachane na Auba wamsajili Ivan Tonney
Maoni yangu
Auba ni mfungaji mzuri lakini kama Ivan Tonney atakuwepo katikati, basi Tonney atakuwa na vitu vingi vya kuleta darajani zaidi ya Auba




Huyo jamaa anajua Sana , ana link up nzuri, ana press, anajua kwenda hewani,Chelsea waachane na Auba wamsajili Ivan Tonney
Maoni yangu
Auba ni mfungaji mzuri lakini kama Ivan Tonney atakuwepo katikati, basi Tonney atakuwa na vitu vingi vya kuleta darajani zaidi ya Auba
Nakukumbusha tu mechi 3 za mwanzo za Arsenal msimu uliosha.Arsenal ana point 9 while Manchester United ana point 0
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Linganisha na game za mwanzo za Man U uone utofauti hapo.Nakukumbusha tu mechi 3 za mwanzo za Arsenal msimu uliosha.
Punguzeni kelele jamani ligi ni ndefu hii tutakimbiana humu. View attachment 2330067
Kwahiyo ulitaka tuanze kwa kufungwa kama msimu ulipita kama unavyofungwa wewe?Nakukumbusha tu mechi 3 za mwanzo za Arsenal msimu uliosha.
Punguzeni kelele jamani ligi ni ndefu hii tutakimbiana humu. View attachment 2330067
Ni sawa mkuu ila Sio DM, Kante anacheza Vizuri ukimuachia akakabe, ni Kama Man U Fred sio DM japo anakaba sana, wachezaji hawa mkuu wapo wengi sana Gatuso, Marchisio na wengine wengi sababu wanakaba sana mashabiki wanadhani ni DM.Chief-Mkwawa
Nilikua nakuambia kuhusu Ngolo kante pale Chelsea
Ukadai kuwa defensive ni Johinho
Unawaona Leeds wanavyopita mido ya Chelsea? Kama hakuna mtu hivi
Kwanza Chelsea wenyewe wanamkataa huyo jogingo
Hivi Ngolo kante angekuwepo mido, just imagine
EPL unahitaji kuwa na kiungo ngumu, tofauti na hapo utalia tu
Hata game ya leo hakuwepo..Utd wamepeleka bid ajax kwa ajili ya Anthony,,,, !!!! Uzuri ni kwamba mchezaji mwenyewe anataka kuungana na mwl wake ETH, ,,,Jana na juz hajatrain na first team ili kuwa-pressure viongoz wake wakamilishe hii deal,,,,
It's happening !!!
#GGMU
Hii united imeyolegealegea Kama mlenda ,hivi unaweza kumuweka mbele ya wanaume Kama Newcastle akatoboaMan u kumbe bado wako vzr tumeona wenzao leo walivyopelekewa moto united ana nafas ya kurekebisha makosa![]()









.....Pain is beautifulHii united imeyolegealegea Kama mlenda ,hivi unaweza kumuweka mbele ya wanaume Kama Newcastle akatoboa
United wanacheza kivivu ,wamelege ,hawana Kasi ,nguvu hawana,mfumo ndio zero ,subili utawaona kesho ,hawana mchezaji yeyote katiri golin ambaye yupo tayari kuacha mguu uwanjan ili timu ifunge.....