Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,313
- 46,827
Sema tusiende kichwa kichwa...Ajax wanataka €100m..kitu ambacho naona sio..tuende nao taratibu ili dogo aje kwa dau ya chini ya hapo ili pia tumwondolee pressure.Jamani huyu dogo huko Ajax unaambiwa kagoma hata kula hahaha anataka kuja.
View attachment 2332143