Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hawa ni wachezaji wanaomaliza mikataba yao mwakani. Awamu ya pili ya kujenga timu mwakani ni kuondoa hawa wote bila kugeuka nyuma.

David Degea, Tom Heaton, Diogo Dalot, Luke Shaw, Phil Jones, Fred, Cristiano Ronaldo, Tahit Chong, Axel Tuanzebe na Marcus Rashford.
De Gea abaki, kama atakubali awe namba 2 na kipa anayekuja msimu huu akubali msimu ujao awe namba 3. Henderson akifanya vizuri awe namba 1 au auzwe kocha anunue kipa atakayemhitaji.
 
Ronaldo awe offloaded sasa
 
De Gea abaki, kama atakubali awe namba 2 na kipa anayekuja msimu huu akubali msimu ujao awe namba 3. Henderson akifanya vizuri awe namba 1 au auzwe kocha anunue kipa atakayemhitaji.
Mshahara wa David ni $350k/weekly nina uhakika kama wale vilaza juu kule wataleta proposal mpya kwake itakuwa ni $250/weekly kwa miaka 4.

Huo mshahara kwa golikipa ni mkubwa sana na haina tija kuchoma pesa kizembe hivi ni kheri aje Kevin Trapp au Yann Sommer mmoja wapo kama golika #1 kwa miaka 2.

Golikipa #2 yeyote yule mwenye uzoefu na premier league ila Dean Henderson auzwe Pound 20 ~ 25M. Positioning yake iko hovyo sana. He's just overhyped British kid.
 
Degea lazima atakuwa replaced, naona kashindwa kuacha tabia ya kubutua butua mipira.
It was ETH tactic and among reason United won the game against Liverpool,United ilipoteza against Brentford sababu tulicheza build up from the back na Brentford walikuwa wazuri kufanya pressing so walivyo-press tulifanya makosa wakatufunga magoli ya haraka.One of the strength ya mfumo Klopp ni high pressing ya 3 forward (Mane/Diaz,Firmino & Salah) so ku-neutralize their strentgh DDG aliambiwa awe anapiga long ball kuwa-bypass Liverpool foward upande wa TAA ambaye ni weak link kwenye defence ya Liverpool.Hii tactics aliitumia Mourinho tukawafungwa Liverpool 2-1 magoli alifunga Rashford,DDG alikuwa anapiga long ball kwa Lukaku ,Rashford anawin second ball na kuwafunga
 
Attachments

  • ma2kfHd7VDV64NeP.mp4
    2.2 MB
Kesho kuna uwezekano wa sisi na Ajax kufikia makubaliano ya ada ya Pound 80M (euro 94M) ila hapa panazidi ku-prove kama kweli tutapata mmiliki mpya aanze kubadilisha CEO kabla hajafanya chochote. Transfer strategy yetu imekuwa mbovu sana muda mwingi tunaingia sokoni muda mbovu ambao kila mtu anajua we're desperate.
 
It was ETH tactic and among reason United won the game against Liverpool,United ilipoteza against Brentford sababu tulicheza build up from the back na Brentford walikuwa wazuri kufanya pressing so walivyo-press tulifanya makosa wakatufunga magoli ya haraka.One of the strength ya mfumo Klopp ni high pressing ya 3 forward (Mane/Diaz,Firmino & Salah) so ku-neutralize their strentgh DDG aliambiwa awe anapiga long ball kuwa-bypass Liverpool foward upande wa TAA ambaye ni weak link kwenye defence ya Liverpool.Hii tactics aliitumia Mourinho tukawafungwa Liverpool 2-1 magoli alifunga Rashford,DDG alikuwa anapiga long ball kwa Lukaku ,Rashford anawin second ball na kuwafunga
Good. Noted.
 
Huyu karuhusiwa kuondoka toka kitambo sana ila hakuna timu iliyotayari kuwekeza kwake. Unaamini kweli sisi tunamzuia?
sasa anafuata fuata timu yetu ya nini?, si alisema anataka kuondoka, si aache kwenda mazoezi kama alivyofanya wakati wa preseason.

au kuna kitu sielewi?
 
It was ETH tactic and among reason United won the game against Liverpool,United ilipoteza against Brentford sababu tulicheza build up from the back na Brentford walikuwa wazuri kufanya pressing so walivyo-press tulifanya makosa wakatufunga magoli ya haraka.One of the strength ya mfumo Klopp ni high pressing ya 3 forward (Mane/Diaz,Firmino & Salah) so ku-neutralize their strentgh DDG aliambiwa awe anapiga long ball kuwa-bypass Liverpool foward upande wa TAA ambaye ni weak link kwenye defence ya Liverpool.Hii tactics aliitumia Mourinho tukawafungwa Liverpool 2-1 magoli alifunga Rashford,DDG alikuwa anapiga long ball kwa Lukaku ,Rashford anawin second ball na kuwafunga
Asante kwa ufafanuzi chief
 
De Gea abaki, kama atakubali awe namba 2 na kipa anayekuja msimu huu akubali msimu ujao awe namba 3. Henderson akifanya vizuri awe namba 1 au auzwe kocha anunue kipa atakayemhitaji.
Kwa mshahara wake, unapata makipa wazuri wawili na chenji inabaki.
 
Bado ila ndiyo offer inayoripotiwa watapeleka, ni pesa nyingi sana £80M inabidi United waweke add-ons hata £15M itakuwa fair price.

United wakipeleka offer mpya imeisha hiyo.
Ok but oflate,100M inaelekeakuwa ni price ya kawaida tena kwa potential players,Nahisi tukizubaa next season gharama itaongezeka zaidi.
 
100M inaanza kuwa pesa ya kawaida sana ila kuna timu ndiyo zinachangia kuharibu soko, Benfica na Dortmund Anthony siyo mchezaji wa 100M ndiyo maana vipengele vya add-ons vinatumika.
 
Back
Top Bottom