Kuna mda mzaha aliokuwa analeta Rashford nilitamani aingie.Hatari mwanangu..
Vp Cr7 aanze game ijayo?
Kwasasa kila mchezaji atakuwa vzr mana confidence inaanza kurudi. Timu kocha bhn, watoto wanakaba wote wanashambulia wote.Hatari mwanangu..
Vp Cr7 aanze game ijayo?
Magwaya akiletwa chelsea mimi nahamia humu ndani.Diogo Dalot nae kafanya kazi kubwa sana ya kukatakata kiazi.
Chelsea tunawaomba mfanye haraka kumchukua beki wenu kabla dirisha halijafungwa.
Mnacheza vizuri ila mnakaa sana nyuma. Mkikutana na wahuni mnakufa.Rashford Martial Sancho sio kwamba ni hatari sana but wana connection..
Alikuwa anazingua Sana kuwatumia wachezaji walioflop akiamini yeye atawarudisha kwenye formAsee hivi ndivyo tunataka
Mmeona sasa Malacia ni mtu zaidi ya shaw, Martinez nae anafanya shughuli ndio tunasema Ten Haag jivike mabomu tumia watu wako achana na waliofukuzisha makocha.
Ronaldo hizo ndizo dakika zake za kuingia kuwascare wapinzani
Leo nimekubali kocha kaja na mbinu. Aendelee hivyo hivyo ukiboroga benchi mpaka akili ikae sawia.
Ushindi safi.
Kwa Artete hatoki ngoMlete arteta...mlete artetaaa![]()
Baada ya kula kiporo unaanza kuwa jeuri.. kwa arteta unakufa 3 kwa 1Mlete arteta...mlete artetaaa![]()
Hawa vijana balaa aisee, well done sanaaaaMalacia
Martinez![]()