Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Labda Kama mnaongea kishabiki hamfatilii epl ,ndio maana mnampa had ubingwa spursy kwa ule Mpira makande,

Ndio nyie mnaiona chelsea ya Rahim na kai kubeba epl

Arsenal toka msimu uliopita tulishaanza kuweka standard kwa hizi middle teams hatutaki zituzoee, ndio maana Kuna Kauli mlikuwa mnasema Arsenal anazifunga timu ndogo tu, msimu huu tume raise standard , Hawa kina palace ,Fulham, soton, Aston Villa ,n.k tunataka waache point ,halafu tutaona nini kitatokea,

Kingine Depth ya squad tunaiongeza ,

kwahiyo msiishi kwa kukariri ,
Spurs inapewa hiyo chance sababu,ya uwepo wa Conte.

Kama umezaliwa jana huwezi kujua Conte ni nani!
 
Spurs inapewa hiyo chance sababu,ya uwepo wa Conte.

Kama umezaliwa jana huwezi kujua Conte ni nani!
Conte alifanikiwa msimu mmoja pale Chelsea kwa kuja na 3-4-3 mfumo ambao EPL ulikuwa hautumiki, msimu wa pili alikimbia epl ,huku kuna game akipigwa had 6-0

Hadi Eddie howe kocha wa Newcastle kwasasa alisema Conte aliwaspraiz msimu wakwanza ,baada ya hapo wakamjulia ,

Conte anategemea miujiza ya Kane na son (individual brilliance) kaangalie mech hata na wolves

Chelsea hii mbovu ilipelekeshwa na Everton ,na kupigiwa mpira mkubwa na Leeds , Cha ajabu Chelsea vs spurs ,Chelsea alikuwa prime Barca

Kwasababu epl mnaiangalia kimazoea Sana, ila fatilia kila mechi utaamini ninachosema

Iwapo kane ashuke kiwango kidogo tu, utamkuta Spurs nafasi ya 10.
 
Spurs inapewa hiyo chance sababu,ya uwepo wa Conte.

Kama umezaliwa jana huwezi kujua Conte ni nani!
Kama unaifatilia vzr epl ,kila timu vikosi vyao, usajiri wao, utaelewa naongea nn, Chelsea hii bila kupata proprer CF, mtamfukuza tuchel kabla ya mech ya 20.

Conte kwa ule mpira hafiki popote,

Kabla Ligi haijaanza nilikwambia sajirini kwa fujo bila a proper CF, utakuwa Ni sare,au kipigo au ushind wa 1-0 , au kusubiri penalty za Gorginho, Rahim anahitaji chance 10 apate goli 1.

Liverpool aaiposajiri hata kiungo mmoja kwa siku 9 zilizobaki, kazi wanayo ,

Epl msiiangalie kwa mazoea ,angalia current timu zipo vipi
 
Conte alifanikiwa msimu mmoja pale Chelsea kwa kuja na 3-4-3 mfumo ambao EPL ulikuwa hautumiki, msimu wa pili alikimbia epl ,huku kuna game akipigwa had 6-0

Hadi Eddie howe kocha wa Newcastle kwasasa alisema Conte aliwaspraiz msimu wakwanza ,baada ya hapo wakamjulia ,

Conte anategemea miujiza ya Kane na son (individual brilliance) kaangalie mech hata na wolves

Chelsea hii mbovu ilipelekeshwa na Everton ,na kupigiwa mpira mkubwa na Leeds , Cha ajabu Chelsea vs spurs ,Chelsea alikuwa prime Barca

Kwasababu epl mnaiangalia kimazoea Sana, ila fatilia kila mechi utaamini ninachosema

Iwapo kane ashuke kiwango kidogo tu, utamkuta Spurs nafasi ya 10.
Una kicha hakuna timu isiyotegemea wachezaji kadhaa.

Manchester msimu ulioisha hakuna mechi tulishinda Ronaldo akiwa Hayupo uwanjani na hapo unasemaje
 
United are so weak in the build-up, kwa timu zinazopress high line kama Brentford zitawapa matatizo hivyo inamlazimu kocha aruhusu GK acheze long kick often times ingawa timu si nzuri kucounter-press. Simply, timu haiwezi kuhandle pressure, can't wait for Newcastle vs United.
 
Una kicha hakuna timu isiyotegemea wachezaji kadhaa.

Manchester msimu ulioisha hakuna mechi tulishinda Ronaldo akiwa Hayupo uwanjani na hapo unasemaje
Structure mbovu, timu inayoshinda kwa individual brilliance huwa haifiki popote ,itakwama tu , angalia mancity ,hata akosekane KDB, au yeyote wanapata matokeo au kucheza vilevile

Conte anacheza ovyo , Hilo halitakiwi kufichwa ,lisemwe Ukweli,
 
Tupo bize kutengeneza mfumo kwa sasa

Wale wazembe wavivu na wasioweza kufit kwenye mfumo watajiondoa wenyewe
 
United are so weak in the build-up, kwa timu zinazopress high line kama Brentford zitawapa matatizo hivyo inamlazimu kocha aruhusu GK acheze long kick often times ingawa timu si nzuri kucounter-press. Simply, timu haiwezi kuhandle pressure, can't wait for Newcastle vs United.
Yap it will take time kujenga timu but lazima u-balance process ya kujenga team na kupata matokeo ,one positive things ni kocha kuwa-motivate players kupambana na kurudisha confidence ya wachezaji kuamini wanaweza kupata positive results regardless wanaipataje .Jana bado tuliona makosa ya Rashford,Elanga,Bruno,Mctominay cha msingi waliamini wanaweza kupambana na walipata matokeo.
 
Oooooohhh

Lisandro f..ucking magic

He wears a magic hat

And when he saw Old Trafford he said I fancy that

He nearly signed for Arsenal but snubbed them cause they are shi.t

He signed for Man United cause we are f..ucking dynamite

Jisongi hilo kwa ajili ya mwanetu Licha
 
Walimpa ushirikiano wa kutosha kabisa, GGMU.
Screenshot_20220823-201102.jpg
Screenshot_20220823-201112.jpg
Screenshot_20220823-201124.jpg
Screenshot_20220823-201132.jpg
Screenshot_20220823-201140.jpg
Screenshot_20220823-201149.jpg
Screenshot_20220823-201158.jpg
 
Back
Top Bottom