Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,870
- 16,425
Yupo leo uwanjani.Hapa inatakiwa waanze na visa na work permit MTU akifika anaupiga tu
Yupo leo uwanjani.Hapa inatakiwa waanze na visa na work permit MTU akifika anaupiga tu
Saa 4 usikuSaa ngapi hii game?
ya nyuklia saa 6 usiku ntaanza kuyarusha moja baada ya lingineNa hapo bado hajaingia hata dressing room 😆😆😆
Ndio tunapokosea,siasa nyingi... tupo kwenye mwanzo mgumu,tunatakiwa tuwe kitu kimoja,haya mambo yanafanya tuzidi kupoteana.Virusi havitacheza leoView attachment 2331530
Angalia alichokisema then rudi haraka kumuangalia usoni. Utagundua kuwa alikuwa kalewa
. Kama ni mzima basi wamemficha ningependa uongozi wamuambie ukweli 
Jamaa kwa haraka haraka ukimuangalia unajua kabisa ni mjanja mjanja.Angalia alichokisema then rudi haraka kumuangalia usoni. Utagundua kuwa alikuwa kalewa. Kama ni mzima basi wamemficha ningependa uongozi wamuambie ukweli
![]()
Ndio tunapokosea,siasa nyingi... tupo kwenye mwanzo mgumu,tunatakiwa tuwe kitu kimoja,haya mambo yanafanya tuzidi kupoteana.
Good move..hata kama tukifungwa aendelee na plan hii hii..Virusi havitacheza leoView attachment 2331530
Leo Man Utd anachana mikekaAmini amini nawaambia mnaenda kufufukia kwa Liverpool.
Amka Mkuu Bado umelala TuAmini amini nawaambia mnaenda kufufukia kwa Liverpool.

Hata Chelsea iliponunuliwa na Roman Abromovic alimchukua mtendaji mkuu David Dein kutoka Man u, ila man u tunamatajiri vilaza sanaHiki kitu niliwahi kusema hawa jamaa walipoanza kuleta ushikaji tu katika kazi ndio walipoua timu.
Unampaje kilaza kama Ed Woodward akuendeshee klabu kubwa ya soka kama Manchester United?
Ndani ya miaka 10 ya Ed kama mtendaji mkuu wa timu thamani ya United imeshuka sana hatujashinda taji hata moja la EPL.
Sheikh Mansour anamchukua Ferran Sorriano kutoka Barcelona ya moto aje amuendeshee timu ndani ya miaka 10 chini yake Manchester City tayari wamebeba EPL 5 jumlisha na mataji mengine 10 chini yake yaani chini Ferran Sorriano City wamebeba makombe 15.
Ferran Sorriano alianza kazi na Ed Woodward kwa wakati mmoja walipishana miezi michache tu ila ndani ya miaka 10 tokea 2012 tayari Ferran Sorriano amebeba EPL 5, Ed Woodward mpaka anaondoka ofisini hajabeba hata moja.