Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

97DAA2F6-6490-4020-A7A9-F3D3669B298B.jpeg
 
Alikuwa anazingua Sana kuwatumia wachezaji walioflop akiamini yeye atawarudisha kwenye form

Hawa akina maguire, Ronaldo, shaw, macfred, rashford na Bruno ni kuwapiga bench then ingiza wachezaji wako mwenyewe then wakishakaa bench wataanza kurudi mmoja mmoja baada ya kujifunza. Create your own TEAM.

Hata yule donny nashangaa kwanini hamtumii wakati ni mchezaji anayemjua vizuri kabisa
Hao wote uliowataja wanapaswa kuondoka msimu ujao mikataba yao ikiisha.

Pia EtH asifanye makosa ni kheri wiki hii a-push aletewe angalau wachezaji wawili wengine inapaswa walau awe na wachezaji wake aliowasajili wasiopungua sita wanaoanza.
 
Hakuna mpira wowote mliocheza leo bali mlikamia mechi kilichowasaidia wachezaji wenu walijitoa mhanga coz ni big match ila hali yenu ya vipigo itarudi palepale

Hamna cha kujisifu mmecheza na Liverpool ambayo haijakamilika kuanzia beki kiungo mpaka mshambuliaji mmetumia energy kubwa sana sidhani kama mtaionesha mkicheza na midtable timu
 
Back
Top Bottom