Kwa mara ya kwanza baada ya kipindi kirefu Jana nimeangalia mpira huku natabasamu !!!
[emoji2788]malacia akiendelea kuwa hivi sioni shaw akirudi kwenye xi siku za karibuni
[emoji2788]Licha"Martinez" what a baller, brilliant, anakaba kwa staha , hapanic
[emoji2788]Elanga mpuuzi tu, jezi ya utd ni nzito kwake,,,, !
[emoji2788]dalot, Ni yule Yule ,,Leo ataparfom, wiki ijayo anaharibu,,, we need proper RB
[emoji2788] Anthony akija, ule upande unaovuja ataziba ziba walau
[emoji2788] Casemiro, proper addition, ngoja tuone ETH atakavyomtumia,,, !
[emoji2788]Fred zile ndo dakika zake, timu tayari inaongoza anaingia kuongeza balance na kutibua mipango ,,,,
#GGMU, bado tuna safari ndefu Sana !!
Liverpool,,,
dah,,, salah Hana Yale makali+shabaha, mpaka first half hawakuwa na on target!
Kiungo Chao kinatia huruma !
Hata huyu vvd wanaemsifia sometimes Ni maji kupwa na kujaa !
Firmino, legend kwa Sasa jezi ya Liverpool hatakiwi kuivaa Tena !!!
Majogoo bado mzimu wa Super Sadio unawaandama ?