Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sasa tusikie mnawalaumu matajiri maana mnapenda kuwaonea wenye pesa
FaEIGZZWYAAm_cD.jpg
 
Ukiwa kocha mkuu wa man utd usionyeshe moyo wenye huruma dhidi ya wachezaji.
  1. Tyrell malacia amemuacha mbali sana kiubora luke shaw hususan kwenye role ya inverted fullback.
  2. wiki mbili nyuma nilisema ukiwa na dalot, Maguire, Fred, shaw, rashford na mctominay ndani ya uwanja Kwa wakati mmoja fahamu unajitengenezea mazingira magumu sana ya kiuchezaji. Ni Imani yangu mwalimu amepata funzo Kwa mara nyengine
  3. David de gea hajazaliwa wala kukulia Spain, anatudanganya
  4. Tunahitaji mlinzi wa kulia, Tunahitaji midfield wawili akiwemo frenkie de jong na Tunahitaji winga mmoja
  5. Tutaamka tena kabla ya jogoo kuwika
Mkuu unataka kuniambia hawa brentford wana wachezaji wakali kuliko hao uliowataja? Kwamba utd inahitaji iwe na de jong, Rabiot kuifunga Brentford?
 
Back
Top Bottom