Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tunawashukuru mashabiki wote wa brentford popote pale mlipo kwa kuonyesha ushirikiano wenu siku ya leo.
Kikubwa kenge ataendelea kua kenge na nyumbu ni nyumbu tu.
Nawakumbusha mashabiki wenzangu kwa hali hii mechi inayofata na Liverpool kila mmoja atembee na kikopo chake cha mafuta.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Inabidi tuchapike haswa, Mambo ya kutiana moyo mwanzon mwa ligi halafu katikati tunaanza kulia kilio haifai...Yani tuchapike vizuri tena vipigo vitakatifu vya kikatili ili dunia nzima Hadi wafu wafahamu kuwa timu ni mbovu, ili basi hadi sisimizi wafahamu kuwa man utd ndiyo inaanza kutambaa dede!
Hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule chief yuko wapi ana jifanyaga ana jua sana, yuko wapi nasubiri comment yake
 
Back
Top Bottom