Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Wafe 8-0
Rasmi nimehama kushabikia man u nahamia madrid




***** pakiti ya pili huko... I'm here bossMan u wanacheza na Dunia yote inafuraha@ Alipipi how are u my brother?

furaha ni pamoja na kuchapwa kama hivi.nimescreen shotKwa kumbukumbu ya vizazi vijavyo, huu ndo Msimamo wa ligi 2022:
sio mnaenda bali tayari mnashikilia mkiaTunaenda kukamata mkia
Dunia nzima inafurahaAsubuhi ya leo nilikatiza kwenye viunga vya Mloganzila, kila ninaepishana nae anacheka, hata wale wangonjwa waliobebwa kwenye machela na wenyewe wanatabasamu ikabidi nimuulize daktari leo vipi mbona hii hali siielewi?
Dokta akanijibu kua kwa pale hospitali ni kawaida siku Manchester United itapokua inacheza watu wote hua na furaha, hata dawa za kupunguza maumivu siku hio hua hazitumiki sana.
Hapo ndio nikakumbuka ile kauli ya allypipi ya kwamba :-
"Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha"



Mitano tenaHuyu degea kweli anatakiwa auzwe
Ndio kuanzisha gan mpira vile au amefanya makusudi![]()
10hag akiwachekea watamwotesha nywele
Kabisa kabisa kocha aliamini anaweza kuna kauli zake mwanzoni niliona zitamcost kwamba kikosi bado ni kizuri sababu kilimaliza ligi nafasi ya 2 msimu uliopitaTatizo la ETH aliamni anaweza kucheza bila Middle??
Hapo ndio naona makocha wapuuzi
Nyinyi kweli hamna heshima na mpira. Nafasi ya nane kwa utumbo huu?? Labda ya kumi na tatu hukoRalph alisema tunahitaji wachezaji 7 hadi 10 ili team ikae sawa, watu mkaja na maswala ya historia. Hapo nyuma na kwenye kiungo hatuna watu.
MSIMU huu nafasi ya nane inatuhusu.