Yani angekuwa na akili ye angekuwa anampa kazi yule babu kusema kweli tu na wachezaji anaowataka ! ye akajua sifa atachukua ralf sahivi anataka kuliaRalf Rangnick alimpa recommendation.
Yeye akaona anajua kila kitu.
Ngoja wamuoneshe kazi.
Yani angekuwa na akili ye angekuwa anampa kazi yule babu kusema kweli tu na wachezaji anaowataka ! ye akajua sifa atachukua ralf sahivi anataka kuliaRalf Rangnick alimpa recommendation.
Yeye akaona anajua kila kitu.
Ngoja wamuoneshe kazi.
hujakosea pamoja na brunoUkiwa kocha mkuu wa man utd usionyeshe moyo wenye huruma dhidi ya wachezaji.
- Tyrell malacia amemuacha mbali sana kiubora luke shaw hususan kwenye role ya inverted fullback.
- wiki mbili nyuma nilisema ukiwa na dalot, Maguire, Fred, shaw, rashford na mctominay ndani ya uwanja Kwa wakati mmoja fahamu unajitengenezea mazingira magumu sana ya kiuchezaji. Ni Imani yangu mwalimu amepata funzo Kwa mara nyengine
- David de gea hajazaliwa wala kukulia Spain, anatudanganya
- Tunahitaji mlinzi wa kulia, Tunahitaji midfield wawili akiwemo frenkie de jong na Tunahitaji winga mmoja
- Tutaamka tena kabla ya jogoo kuwika
haisaidi kichapo na liver kipo palepale na timu ni mbovu badoBreaking: Manchester United have reached a total agreement with Adrien Rabiot’s mother, Veronique, on personal terms. #MUFC [@sachatavolieri]
Man U inaweza isiwe na world class players, TRUE. Lakini still kwa hii bunch iliyopo sasa hivi sio ya kupigwa 6 na Brentford & Brighton huku yenyewe ikifunga goli moja tu.
Tuache lazyman's analysis.
Tuchambue mechi ya leo kwanza, mambo ya usajili weka pembeni. Acha kujificha kwenye kichaka cha usajili.Breaking: Manchester United have reached a total agreement with Adrien Rabiot’s mother, Veronique, on personal terms. #MUFC [@sachatavolieri]
Kuondoka kwa mtu kama Ferguson kwenye timu aliyoitumikia kwa zaidi ya miaka 20 na aliyeweka falsafa zake zilizoota mizizi haliwezi kuwa jambo dogo, ilikuwa ni lazima Man u iyumbe hata kocha angekuwa nani, na ndiyo maana watu wanaojua alama za nyakati kama Pep walikataa kumrithi Fergie co kwamba hawakuwa wanapenda la hasha bali walijua isingekuwa rahisi. Fergie alimpendekeza Pep na walipata kuongea wakiwa USA lkn licha ya kipindi kile Pep kutokuwa na timu lkn aligoma kwa kisingizio eti anapumzika kwanza.Wewe unadhani tatizo kuu ni lipi?
Safi kabisa, nililiona hili, hivi ni timu gani pale EPL haina CDM na kocha akafurahia kabisa kuanza ligi?
Pep alikuwa na Fernandinho lakini alinunua Rodrì ili fernandinho anavyoisha Rodri awe amezoa,mnaona moto wa Rodri.
Huwezi kuwa na timu haielewi hata mchezàji gani anaichezesha ukategemea kitu toka kwenye hiyo timu zaidi ya hiki tunachoona kwa United.
Nilimshangaa sana EtH kwa kukubali mpaka anaenda Preseason na hana CDM.







kenge nyieHawajafunga goli hata moja, ilikua ni own goli na brightonMan U inaweza isiwe na world class players, TRUE. Lakini still kwa hii bunch iliyopo sasa hivi sio ya kupigwa 6 na Brentford & Brighton huku yenyewe ikifunga goli moja tu.
Tuache lazyman's analysis.
Hii timu imefikia hatua haifundishiki.Mkuu unataka kuniambia hawa brentford wana wachezaji wakali kuliko hao uliowataja? Kwamba utd inahitaji iwe na de jong, Rabiot kuifunga Brentford?
Wanataka dyudyuHawa wachezaji wanataka nini