Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,795
Looh
Kitasa sana hiki au sio?Halafu mwanetu Captain Maguire mnamuonea sana,halafu mwana sio muongeaji ila wana mtegea sana,ila yy anafanya kazi yake.
Cha ukweli sema basi wanamuonea yy wakati uwanjani wanacheza 11.Kitasa sana hiki au sio?
Umeelezea Kwa hekima na busara Sana ila mkuu ally, ushabiki huwez uficha mfukoni.Dah yani nashangaa fans wenzangu mnavyo lalamika yani hivi mlitegemea nini cha ajabu man u tutafanya msimu huu.
Yani kocha hata mechi 10 ajamaliza kelele mbona tulikubalia humu kuwa msimu huu tusitarajie makubwa mmekuwaje hivi.
Hivi mnajua mki panic mashabiki mna mpa kocha nae pressure ya kufanya nae a panic.
Mimi kama allypipi kwangu kwenda big 4 au kushinda ueropa naona ndo yatakuwa mafanikio makubwa kwetu msimu huu hakuna jipya.
Nakushauri tu kama una tegemea makubwa kutoka kwa Manchester united msimu huu bora uache kufatilia mpira tu Mpaka pale utaposikia mambo yapo sawa.
hata Ac milan wamekaa muda lakini wamevumilia msimu ulio kwisha wametwaa taji.
Inabidi tu tukubali kwamba kwa sasa hatuna uwezo huo wakujilinganisha na liver,city
Tuvumilie tu ndo timu yetu.
Mkuu kocha kasema anatengeneza timu sasa usitegemehe wachezaji wote watapotea tu ndani ya msimu mmoja.Umeelezea Kwa hekima na busara Sana ila mkuu ally, ushabiki huwez uficha mfukoni.
Mm nacheki recorded za man united Hadi zinaisha Sasa.
Naruidiaga Sana. Sasa Kwanini kocha haoni makosa Kwa mfano delot hafai, kwann anampa task ya right back??
Kocha mzuri wala hatumii mda mrefu hivyo kufanya mabadiliko labda timu iwe mbovu kama Liverpool ya Klopp enzi zile. Mfano mzuri Profesa Nabi wa Yanga asiyetaka akakumbatie jenereta.Mkuu kocha kasema anatengeneza timu sasa usitegemehe wachezaji wote watapotea tu ndani ya msimu mmoja.
Sio muda utaanza kuona pumba na mchele zina jitenga nadhani mpaka ipite misimu mitatu tutakua tuna wachezaji wengine kabisa,ndo maana kocha katulia uwezi fanya sajili za haraka haraka hivyo.
Kumbe una shabikua man u na unatuponda city jinga kabisampira ulibadilika zile dakika alizoingia ronaldo tu huku kwingine ujingaaa hakuna kituuu..


Nimeitoa sehemu uko.View attachment 2319975huyu mwamba ana. B4 ??



Mkuu mimi wapi nimesema arnautovic mbovu mkuu kushikana mashati huku.TEN HAG MAPEMA TU ANAWEZA KUJICHANGANYA
Yaani man u inaacha kumsajiri Anatovic kisa kelele za Mashabiki?
Yaan imefikia hatua timu inaendeshwa kwa kelele za Mashabiki na sio Tactic za mwalimu ? Mbona ten hag mapema Sana anakubal huu ujinga
Kocha ameona Anatovic kwa profile zake atamsaidia kwenye ushambuliaji , gafla anaacha kumsajiri kisa kelele za kina allypipi
Kaz ipo
MANCHESTER UNITED AKIONGOZA LIGI HATA KWA SEKUNDE TU NIITENI MBWA NIMEKAA PALE![]()
Hapana ,kukuweka wewe nimemaanisha Mashabiki wenzio ,Mkuu mimi wapi nimesema arnautovic mbovu mkuu kushikana mashati huku.
we nadhani umezaliwa na wafira.naji sababu hauwezi muita mwanamme dada, lazima baba ako alishafumuliwa fumuliwa na mashemeji zake, so unadhani kila mwanamme ni kama baba ako.Duh unaota wewe mdada