J2 saa 4:00 usikuHivi game na Liverpool ni lini na saa ngapi?...
Ni wachezaji waliowafelisha makocha waliokuwepo kabla.Hii timu hakuna mchezaji wa kumbembeleza hata mmoja..
Akijiuzulu itakuwa heshima kubwa sana kwake.Again RR alishaona matatizo ya hii timu baada ya kufundisha ,now ETH nae ataanza kuyaona matatizo jinsi muda unavyokwenda but RR angekuwa msaada sana kwake hata kwa msimu mmoja,nina wasiwasi hivi vipigo vitamuondolea confidence kabisa na asipofukuzwa yeye mwenyewe anaweza akajiuzulu mapema
Huyu kocha wenu akileta ujuaji atakuja kukumbuka maneno ya yule mzee akiwa anafukuzwa.. Tena akaenda mbl kusema ana team nzr sana kwa sbb team hii misimu kdhaa ilimaliza top2 akaenda mbl zaid kusema zama zina mwsh akiwa anategemea hii team.Ralf Rangnick alimpa recommendation.
Yeye akaona anajua kila kitu.
Ngoja wamuoneshe kazi.
Mtakubali tuTen Hag kitendo cha kusema anawachezaji wazuri nilimwona ni mjinga kabisa..
Kua serious sio shida mtakua serious na wachezaj gn waweze kukubal kuja kwny hii mess.. Team ambayo structure yake haitabiriki kwmb ni ya watu wny akil timamu au la.Bora tunachapika na dirisha la usajili lipo wazi tushindwe sisi tu kusajili saizi naona kama tutakuwa serious na usajili.
Baada ya Brentford kutafuna Karanga mbichi kwa wiki nzima hatimaye Leo kapata pa kumwagia na kamwaga haswaa





Man United inaajiri makocha kuwadhalilisha.Sidhani kama ETH ata-survive,hii timu ilikuwa inahitaji strong DM EPL ni tofauti kabisa na Dutch league
Ni kkosa kubwa sana creative player kama Eriksen anachezeshwa nyuma while strength zake ni kucheza attaking midfielder (namba 10)