Mkuu unataka kuniambia hawa brentford wana wachezaji wakali kuliko hao uliowataja? Kwamba utd inahitaji iwe na de jong, Rabiot kuifunga Brentford?Ukiwa kocha mkuu wa man utd usionyeshe moyo wenye huruma dhidi ya wachezaji.
- Tyrell malacia amemuacha mbali sana kiubora luke shaw hususan kwenye role ya inverted fullback.
- wiki mbili nyuma nilisema ukiwa na dalot, Maguire, Fred, shaw, rashford na mctominay ndani ya uwanja Kwa wakati mmoja fahamu unajitengenezea mazingira magumu sana ya kiuchezaji. Ni Imani yangu mwalimu amepata funzo Kwa mara nyengine
- David de gea hajazaliwa wala kukulia Spain, anatudanganya
- Tunahitaji mlinzi wa kulia, Tunahitaji midfield wawili akiwemo frenkie de jong na Tunahitaji winga mmoja
- Tutaamka tena kabla ya jogoo kuwika
Mkuu unataka kuniambia hawa brentford wana wachezaji wakali kuliko hao uliowataja? Kwamba utd inahitaji iwe na de jong, Rabiot kuifunga Brentford?
Wewe unadhani tatizo kuu ni lipi?Mkuu unataka kuniambia hawa brentford wana wachezaji wakali kuliko hao uliowataja? Kwamba utd inahitaji iwe na de jong, Rabiot kuifunga Brentford?
Njoo tena utoe commentUtd fans Ni sikio la kufa!
Tulishaambiwa ni Ni re-building,,, sio process ya siku moja au mwaka mmoja,,,,
Mnataka timu nzima isajiliwe kwenye window moja ? Ni Kitu ambacho hakiwezekani, hata kidogo ,,, ! It will take time,,,
Au mnataka tuchukue EPL na combination ya macFred?, !!!!
Wenzetu wako too professional kwenye kuendesha timu zao,sio Kama sisi huku Africa tunaendesha na mihemuko, kukomoana na siasa ! mfano kila window lazima wanaangalia outgoings na incomings, ili kubalance madaftari yao kibiashara na kuepuka rungu la FFP,,,, !!
EtH apewe muda, naamini board itamsapoti, ndani ya misimu walau miwili ndio tuje hapa tupime uwezo wake,,,,!!! Kuna kitu anakiongea Sana hatumuelewi(right player), alafu enzi za punic buying za Woodward zilishapita,,,, ! (rejea kina falcao, dimaria, rojo ,blind , n.k, mikataba minono , hamna wanacho-deliver)
Pep alipokuja city pamoja na wahuni wale wa kiarabu kumwaga hela atakavyo lakini ilimchukua zaidi ya msimu mmoja kuijenga city tunayoiona Sasa hivi,,, ,,
Vile vile klop alikuta magarasa kibao akayasafisha na kusajili karbia misimu minne, ndio liver tunayoiona Leo kila msimu wanagombania kombe,, !!!!
Utd sasa baada ya mechi moja kila mtu anaongea yake,,, serious tunataka kuchukua epl au, !! EtH sio kocha mmbaya, tumpe muda, tukubali kebehi, maumivu na masimango ya kila namna kutoka kwa majirani zetu ,,, !!
Thought on other teams,,, ??
City untouchable
Liver wako Good, mid yao tia maji tia maji waombe Sana wachezaji wao wawe fit na consistent!
Arsenal ni Ile ile miaka nenda rudi
Chelsea wakikaza wanaweza kuingia top four
Spurs,,,dah Conte tunamchukulia poa ila this time anaweza kutupa lesson!
Trust the process,,, Glory Glory Utd
Wameamua kuchoma moto groundSasa tusikie mnawalaumu matajiri maana mnapenda kuwaonea wenye pesaView attachment 2323285
Kocha nae anatia wasiwasi ,kacheza na double no.10 leo , nikashangaa Sana, Ole Guna aliwahi kujaribu acheze na Bruno na pogba ,ikabuma,Safari hii lawama sijui mtampa nani?
Pogba kawaachia timu yenu.
Ila naona kama kocha uwezo mdogo sana sijui atashinda mechi gani hapo epl.
na bado anaamini siuliona sub ya Mctominay alijua atamsaidia akawa anapiga pasi nje kwa kibenderaKabisa kabisa kocha aliamini anaweza kuna kauli zake mwanzoni niliona zitamcost kwamba kikosi bado ni kizuri sababu kilimaliza ligi nafasi ya 2 msimu uliopita

mjinga sana hajiulizi hawa wachezaji washafukuzisha makocha wa 4 na bado wapo na kocha ndo huwa havumiliwi bado unasema rashford mzuri hauzwiTen Hag kitendo cha kusema anawachezaji wazuri nilimwona ni mjinga kabisa..
