breeeeeeentford2 huko
zadi ya balaaaaBalaa hii
Wameongeza, mlima unazidi kuwa mrefu kupanda.mtsawazisha chief
De gea ameshachoka apigwe kwanza benchHuyu degea kweli anatakiwa auzwe [emoji706]
Ndio kuanzisha gan mpira vile au amefanya makusudi [emoji2955][emoji2955]
10hag akiwachekea watamwotesha nywele