Umetokea mafichoniUshuzi mtupu..yaani nina hasira sana..
Niliogopa tangu mwanzo kwa kauli zake na kingine kujiamini kuanza msimu bila dmNa inavyoonekana kocha wetu atakuja kuwa kipenzi cha board maana alisema team yetu bado ina wachezaji potential sana akasisitiza wachezaji hao ndio walifanya tukamaliza nafasi ya 2 msimu uliopita
Tofauti na RR aliyesema tunahitaji wachezaji wapya at least 7
Ralf pia aliikosoa board kuhusu kuwakosa Diaz na Alvarez
Unatusumbua sana jukwaa la chelsea....Mkuu naona umefurahia sana Maguire kukandwa.
Ten Hag amekuja kuendeleza clean sheet alizoachiwa na Ralf Ragnic.
Man united haina tofauti na mtumbwi wa vibwengo.
Ila hawa wahuni wa Brentford sio binaadamu hawana utu hata kidogo.
Man utd kala kande kavembewa kenda kolaaaaaa.Tuimbe parapanda italia 😭😭😭
Tunawashukuru mashabiki wote wa brentford popote pale mlipo kwa kuonyesha ushirikiano wenu siku ya leo.Unatusumbua sana jukwaa la chelsea....
Afadhali vipigo kama hivi vitakuweka mbali na sisi.
Wamekojolewa vinne