Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sijui kwa nini sajili za awamu hii zinanifurahisha except De Jong.

Fundi kaja. Huwa navutiwa sana na sajili zisizokuwa na mlengo wa kibiashara nyuma yake. Malacia & Eriksen - genius signings!

Hawa ni aina ya wachezaji wasiokuja na ego bali wanakuja kufanya kazi.
 

Attachments

  • Eriksen.png
    Eriksen.png
    7 KB · Views: 16
Sijui kwa nini sajili za awamu hii zinanifurahisha except De Jong.

Fundi kaja. Huwa navutiwa sana na sajili zisizokuwa na mlengo wa kibiashara nyuma yake. Malacia & Eriksen - genius signings!

Hawa ni aina ya wachezaji wasiokuja na ego bali wanakuja kufanya kazi.
Man Utd ni brand kubwa tu.

Automatically mchezaji anakuwa star.

Nimefurahishwa na sajili zenye tactics ndani yake..
 
Huwezi kuelewa.Hujui kama Ronaldo ndiye aliye mfukuza Ole kazi. Au mahaba yamedizi
Ama kweli mashabiki wa kibongo ni watu wasiojielewa na wala hawajui wanataka nini, msimu uliopita OLE OUT OLE OUT OLE OUT zilikuwa nyingi sana humu na huko ulaya kabla hata Man Utd haijajua kama kutakuwa na uwezekano wa kumsajili Ronaldo.

Leo u awezaje kusema kuwa Ronaldo ndiye aliye mfukuza Ole pale Man utd?

Njooni na hoja za maana mnapoamua kuelezea ni kwanini Cr7 ndiye chanzo cha kufeli kwa Man Utd msimu uliopita, na sio hoja za kijinga kama hizo.
 
Acha ujinga kijana.

Pale klabuni hakuna wa ku-replace magoli ya Ronaldo.

Hakuna mchezaji mwenye ari ya uchezaji kama Ronaldo.

Akipata timu yenye wachezaji sahihi anakupa magoli 25 bila shida pamoja na uzee wake.
Shida ni kwamba watu wameendekeza ushabiki wa ki-hoyahoya , mtu anakwambia eti Ronaldo ndo kfukuzisha Ole wakati hashtag za OLE OUT zilianza mapema tu hata kabla Ron hajaja Man Utd.


Mimi nataka apatikane mtu wa kueleza kwa kina (kiufundi) ni kivipi Cr7 kaifelisha Utd ya sasa, na je tatizo la midfield na backline (ambayo ndo uozo wa Utd), nayo tumtwishe Ronaldo?
 
Mentorship ipi anatoa Ronaldo zaidi ya kuharibu career za madogo, wakati anafika hapo kulikuwa tayari kuna wide observations juu ya mapungufu ya Rashfod and Martial, character weaknesses, aliwasaidia vipi? sanasana kasababisha wamepotea zaidi, ameua kabisa their inner being.

hata yule alipiga girl friend wake, yawezekana ni kutokana na kuwa frustrated na behaviour the Ronaldo, sababu immedietely alipofika waliingia kwenye migogoro naye, mentor anagombana na the youngest player in the squad?
Hapa sasa umeamua kuja na hoja za kichekechea kabisa na yoyote mwenye akili hahitaji kutumia muda mwigi kujua kwamba una nongwa zako juu ya CR7, either ni team Messi au whatever.

Hivi unawezaje kuhusianisha tukio la Mason kupiga demu wake na uwepo wa Man Utd pale Manchester? Hii hoja ni ya kitoto kabisa, kwahiyo ikitokea wapo wanaonyimwa unyumba nao itakuwa ni kwasababu ya Robaldo?

Mimi nipo hapa kusubiri atakeeleza kiufundi ni kwanini Ronaldo ndiye aliyeifelisha Utd licha ya kuchangia mabao mengi kuliko mchezaji yoyote, anahusika vipi na magoli mengi tuliyoruhusu msimu huu, anahusika vipi na midfield yetu iliyooza?


Nyinyi jengeni team tu ila hizi habari za kutafuta mtu wa kumuegemezea zigo la mavi ni utoto tu, Ile Utd ilikuwa imeoza kuanzia nyuma, katikati na huko mbele alibaki Ronaldo tu mwenye makali.
 
Manchester city wanauza wachezaji wao hususani kutoka team B kwa kiwango cha juu kabisa mpaka naingiwa na wivu, wameshakusanya paundi million 26 kwa mauzo ya wachezaji wawili walionunuliwa na southampton na wote wanatoka team B. wameshapata paundi million 40 kwa gabriel jesus na wanaelekea kupata paundi million kwa sterling. pia wamemuuza mjapan kwa bei ya jumla kwenda borussia. SISI TUNASHINDWA KUWAUZA HATA WA KIKOSI CHA KWANZA
Wa kwetu wengi hawauziki na hata wale ambao kidogo wanaweza kuuzika sokoni, bado tunawaona kama moyo wa club yetu. Hapo kikosi cha kwanza hakuna mchezaji ambaye tunawaza kumuuza hapo kwa 60M.

Unajua ifike mahala tukubali tu kuwa tuna kikosi chenye wachezaji avarage sana, labda kama ujio wa ETH utaboost morali yao.
 
Michael Carrick:

"Hopefully they [mufc] can get a good start to the season and kick on, it'll be interesting to see how it goes.

I think [Ten Hag]'s just got to do what he does, he's proved it at Ajax and in his coaching career he's got strong beliefs and his teams play a certain way. I'm looking forward to seeing that…

As I say, I hope they get a good start to the season. If you get a good start to the season you can get momentum from there. I think when you're talking top four, you want to be right up there, of course you do. You want to be challenging.

At the start of every season for Man United, you want to be trying to win trophies and win the league, so I'm sure they'll be trying to do that."
 
Back
Top Bottom