Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jajajaj
IMG-20220706-WA0198.jpg


Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
Ikitokea Martinez akasainiwa Man u itakua imeua ndege wawili kwa jiwe moja maake pia game nyingi za uefa alicheza kama defensive midfield....
Mdogo mdogo naanza kumuelewa Ten hag anavopick wachezaji....
Trust the process
 
Mkuu angalia hii video kama una muda dakika 3 tu


Anapiga cross ila anaonekana anaprefer pasi zaidi kuliko cross. Pia hasubirii afike box la wapinzani, tuna misingi mbio wa kutosha atasaidia.

Cr7 akiacha mapepe atakuwa anapigilia Sana. Maana dogo anajua kukunjua. Muhimu ni aina ya mwalimu kama unamuamini
 
Wakati wanaume wote duniani wanacheza UCL Kuna mbwa mmoja anajiita goat atakuwa anacheza Europa league na kina selitiki ,renjazi ,furakifuti ,sipatikomosiko Tena siku za alihamisi aiseeee
 
Huyo jamaaa pia hajali afya yake ya moyo. Imagine man u tunaongoza 1-0 dakika ya 90+. HALafu li maguire linajifunga own goal.
Si pacemaker itatingishika moyoni. Ilibidi aende timu kama bayern,psg,au mancity ambapo atacheza mpira kwa ku lelax,man u ni hatari ka afya yake,sijui nani anamshauri huyu mtu.
Hama timu Acha kuleta utoto

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom