Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sure Jombaa. Issue kubwa iliyopo huko ndani inaaminika EtH yeye mwenyewe kwa moyo mmoja kaamua dirisha hili tusiingie sokoni mazima. Budget aliyopewa na bodi ni pound 150M without sales.

Mpaka sasa pound 14.6M tayari italipwa Feyenoord ukijumlisha na hiyo ya Barcelona pound 73.2M. Itabaki pound 50M, sioni kama timu inaweza kusajili zaidi ya wachezaji wanne dirisha hili unless wauzwe kadhaa.
Yeah. Upo sahihi.

Hilo fungu alilopewa angegusa maeneo yote muhimu.

Kuna namba zinahitaji replacement ASAP.

Tukianza msimu hatujazifanyia kazi, we're finished before we start.
 
Ila Mkuu sifa ya ETH ni kutumia Alichonacho, Ajax ya kina FDJ na De Ligt striker alikuwa Tadic.
Ajax ipo farmers league.

Man Utd ipo ligi ngumu sana duniani, tena wakati huu kuna timu kubwa 4 zinajielewa.

Kila match ni muhimu kuliko.

Na isitoshe kuna makombe manne tunagombania.

Nioneshe kikosi cha United cha kutoa challenge.
 
Huyu De Jong ni EtH mwenyewe anamtaka binafsi nilimkata na nitaendelea kumkataa.

Huu usajili wa De Jong tunawasaidia Barcelona kutatua matatizo yao. J'5 Barca watamtambulisha Franck Kesssie, tayari wamempa mkataba mrefu Pedro Gonzalez 'Pedri' then lastly they have a big contract for Pablo Gavira 'Gavi'. Technically, they don't have space for De Jong.

Narudia tena na tena na tena huu usajili wa De Jong ni win win situation kwa Barcelona. De Jong ana option mbili tu ajiunge United au apunguze mshahara. Mimi chaguo langu daima ni Ruben Neves huyu ni proven EPL player. Gharama yake ni pound 50M tu plus $150 - 200k weekly vs De Jong pound 73M plus $250k - 300k weekly.
Tumpe kocha nafasi.

Aje na kila mtu anayemtaka.

Ila baada ya msimu wa pili, hakuna atakaekuwa na uvumilivu.
 
Ajax ipo farmers league.

Man Utd ipo ligi ngumu sana duniani, tena wakati huu kuna timu kubwa 4 zinajielewa.

Kila match ni muhimu kuliko.

Na isitoshe kuna makombe manne tunagombania.

Nioneshe kikosi cha United cha kutoa challenge.
Tuna Beki wa kati 7, Full back 5, viungo washambuliaji 2 wa kati na bado kuna wa tatu pengine akaja, Mawinga 6 etc.

Sehemu pekee ambayo ambayo tupo ovyo ni kiungo wa kati, na Akija FDJ na Garner akibaki napo pia tutakuwa na Depth nzuri.

Kikosi Kilichotupa nafasi ya Pili mtoe Greenwood muweke Sancho thats it.

Kifupi bado kikosi chetu kipo bloated kuna wachezaji kibao bado wanatakiwa wauzwe.

Na hayo mashindano manne, matatu si makubwa Europa na kina Carabao ni sehemu ya kuwapa watoto experience, watarotate kina Hanibal, Garnacho, Garner etc.
 
Hapo kwa Mctomney ndipo kilipo kidonda, ila maeneo mengine yote ya mwili najisikia niko vizuri kabisa.

Naombeni nitafutueni tiba ya eneo hilo, huyo De Jong naona kama munanitibu kichwa ilhali mimi naugua kiuono.

Chonde chonde doctor, okoa maisha ya mgonjwa mimi, bado Dunia naipenda.
inasemekana fulham na baadhi ya timu walimtaka ila eth aligoma kasema anampangonae kwenye kikosi chake cha kwanza me nimechoka kabla ligi haijaanza
 
Huyu De Jong ni EtH mwenyewe anamtaka binafsi nilimkata na nitaendelea kumkataa.

Huu usajili wa De Jong tunawasaidia Barcelona kutatua matatizo yao. J'5 Barca watamtambulisha Franck Kesssie, tayari wamempa mkataba mrefu Pedro Gonzalez 'Pedri' then lastly they have a big contract for Pablo Gavira 'Gavi'. Technically, they don't have space for De Jong.

Narudia tena na tena na tena huu usajili wa De Jong ni win win situation kwa Barcelona. De Jong ana option mbili tu ajiunge United au apunguze mshahara. Mimi chaguo langu daima ni Ruben Neves huyu ni proven EPL player. Gharama yake ni pound 50M tu plus $150 - 200k weekly vs De Jong pound 73M plus $250k - 300k weekly.
FDJ na Neves itapendeza wakija wote wawili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo kwa Spurs hii ya mwaka huu, misimu iloyopita Spurs walikuwa wanasajili average players na kuna kipindi walikaa muda bila kusajili.

Ila tu pamoja na signings zote wanazofanya Spurs, Arsenal, Chelsea na United sioni bingwa akiwa katika hizi timu nne, kwenye long run timu kama City na Liverpool zina nafasi kubwa kubeba ubingwa kwasababu ya squad depth waliyonayo. Uki-batle first eleven ya vikosi vyote vya hizi timu 6 utakuta zina uwezo sawa 'potential-wise' ila ukirudi kwenye kikosi kizima wakikumbwa na majeruhi au some players wakiwa out of form hapo ndiyo maji hujitenga na mafuta. City katika mechi 38 wanapiga rotation ya kutosha na quality na performance ya timu ni ileile rudi sasa kwa hawa Spurs, Arsenal, Chelsea na United akikosekana tu mchezaji mmoja au wawili wa first eleven kwisha habari yao.

Kwangu naona next season ni nafasi mbili za City na Liverpool katika top 4 na hizo mbili watapambania wanaobaki. Ila all in all football haiishi kutushangaza.
Kuna wakati City anakiwaga kawaida Sana ..... Cha ajabu mwalimu ana mbinu mbadala.... mwishoni wakabeba...

Liverpool Ndio naiyona inapiga viuno tuuu. Bora Man UTD akipanda amepanda.....

Peo ni MTU mwenye bahati Sana na intelligence yake viwango.....

Spur ni soda tu
 
Manchester city wanauza wachezaji wao hususani kutoka team B kwa kiwango cha juu kabisa mpaka naingiwa na wivu, wameshakusanya paundi million 26 kwa mauzo ya wachezaji wawili walionunuliwa na southampton na wote wanatoka team B. wameshapata paundi million 40 kwa gabriel jesus na wanaelekea kupata paundi million kwa sterling. pia wamemuuza mjapan kwa bei ya jumla kwenda borussia. SISI TUNASHINDWA KUWAUZA HATA WA KIKOSI CHA KWANZA
 
Sisi mashabiki wa man utd hatutaki kukubali kwamba tupo tunapitia kipindi kigumu,ndo maana kila uchwao tumekua tukifanya comparison..Hata hao man city kuna muda walikua ivo ivo,na liva ndo walikua takataka,nafasi ya saba kwao ilikua kawaida.
Time will come tuvute subira....
 
Hapo kwa Mctomney ndipo kilipo kidonda, ila maeneo mengine yote ya mwili najisikia niko vizuri kabisa.

Naombeni nitafutueni tiba ya eneo hilo, huyo De Jong naona kama munanitibu kichwa ilhali mimi naugua kiuono.

Chonde chonde doctor, okoa maisha ya mgonjwa mimi, bado Dunia naipenda.
Hahaha...

Kitoabu bana..
 
— Sir Alex Ferguson on Eric Cantona:

“If ever there was one player, anywhere in the world, that was made for Manchester United, it was Cantona. He swaggered in, stuck his chest out, raised his head and surveyed everything as though he were asking: ‘I’m Cantona. How big are you? Are you big enough for me? But I do admit that there was something, perhaps a mental block, that stopped him from being the best player in the world.

There was an element in his nature that seemed to prevent him from realising the full potential of his incredible gifts.”
 
Sisi mashabiki wa man utd hatutaki kukubali kwamba tupo tunapitia kipindi kigumu,ndo maana kila uchwao tumekua tukifanya comparison..Hata hao man city kuna muda walikua ivo ivo,na liva ndo walikua takataka,nafasi ya saba kwao ilikua kawaida.
Time will come tuvute subira....

Muda wa man u ulishapitaga.

Tatizo la man u kwa sasa ni mashabiki...
Kwanza mnasifia sana wale watoto..hadi wana under performe..mfano ni rahsford.

Pili mnawatishia wachezaji maisha cc maguire.

Nne vita yenu na mmiliki mnaileta uwanjani.

Man u wanahitaji kizazi kipya cha mashabiki kizazi hiki kilichoachwa na SAF kinaishi kwenye ndoto bado.
 
Ronaldo katikisa tu kiberiti.
20220704_141330.jpg
 
Kusema kweli ujio wa CR7 ulimuuma Cavani tangu kupokonywa jezi namba 7 pamoja na kusugua benchi mara kwa mara.
Kuna mechi ulikuwa unaona kabisa hii inamfaa yeye ila ukubwa wa jina la Ronny ukawa unambeba.
Mwishowe jamaa akaamua aumalizie msimu kitaa na familia yake tu.
Kusema kweli tulimkosea Cavani,kwa ,mtizamo wangu mimi.
Huyo mechi 2 anaumia tumemkosea nini?
 
Back
Top Bottom