ozark
JF-Expert Member
- Dec 31, 2021
- 626
- 1,595
We subiri uone itakuaje,trust the processWanasema ni mbovu kwenye krosi na kuzuia. Sasa mmekataa nini na mnaleta nini..
Wan Bissaka Part II
We subiri uone itakuaje,trust the processWanasema ni mbovu kwenye krosi na kuzuia. Sasa mmekataa nini na mnaleta nini..
Wan Bissaka Part II
Msimu wa 2021/2022 amecheza mechi 26 kafunga goli 24.
Watu wanafurahia sababu ni sura mpyaHuyu ni Bissaka mwingine, nasubiri ajipambanue pale Utd.
Huyu jamaa anajua kupiga krosi mkuu?Ndio mkuu ni kama AWB na yeye pia ni press resistant, anajua kudrible na kutoroka, anakaba etc, sema anajua kupiga pasi nzuri pia, na ana speed sana. Hivyo fikiria kama Awb+rashford pamoja.
Mkuu angalia hii video kama una muda dakika 3 tuHuyu jamaa anajua kupiga krosi mkuu?
Ama kweli mashabiki wa kibongo ni watu wasiojielewa na wala hawajui wanataka nini, msimu uliopita OLE OUT OLE OUT OLE OUT zilikuwa nyingi sana humu na huko ulaya kabla hata Man Utd haijajua kama kutakuwa na uwezekano wa kumsajili Ronaldo.
Leo u awezaje kusema kuwa Ronaldo ndiye aliye mfukuza Ole pale Man utd?
Njooni na hoja za maana mnapoamua kuelezea ni kwanini Cr7 ndiye chanzo cha kufeli kwa Man Utd msimu uliopita, na sio hoja za kijinga kama hizo.


Ukishafika hapo kuwa wakuelezee ni kivipi Ronaldo ni chanzo cha timu kufanya vibaya msimu uliopita wanakimbia. Mimi nataka maelezo tu kivipi Ronaldo amechangia tuwe na defense na midfield mbovu basi.
Ile ni brand mkuu, kwahiyo inapigwa vita na wengi sana bila hata sababu, kuna watu pia utakuta wanamdiss Messi bila sababu zozote za msingi.Ukishafika hapo kuwa wakuelezee ni kivipi Ronaldo ni chanzo cha timu kufanya vibaya msimu uliopita wanakimbia. Mimi nataka maelezo tu kivipi Ronaldo amechangia tuwe na defense na midfield mbovu basi.
Nilisema hii agenda ilianzishwa na wapuuzi wa mitandaoni hasa Twitter na hawana sababu za msingi zaidi ya guessing wakikosa majibu wanakuja na quotes za wachezaji wa Juventus.![]()
Huyo jamaaa pia hajali afya yake ya moyo. Imagine man u tunaongoza 1-0 dakika ya 90+. HALafu li maguire linajifunga own goal.tokea wamsajili Ericksen mie basi tena labda tusubirie msimu wa 2023/2024
Subirini muone maajabu ya Ten hag,hajawahi feli,Huyo jamaaa pia hajali afya yake ya moyo. Imagine man u tunaongoza 1-0 dakika ya 90+. HALafu li maguire linajifunga own goal.
Si pacemaker itatingishika moyoni. Ilibidi aende timu kama bayern,psg,au mancity ambapo atacheza mpira kwa ku lelax,man u ni hatari ka afya yake,sijui nani anamshauri huyu mtu.
Hapa sasa umeamua kuja na hoja za kichekechea kabisa na yoyote mwenye akili hahitaji kutumia muda mwigi kujua kwamba una nongwa zako juu ya CR7, either ni team Messi au whatever.
Hivi unawezaje kuhusianisha tukio la Mason kupiga demu wake na uwepo wa Man Utd pale Manchester? Hii hoja ni ya kitoto kabisa, kwahiyo ikitokea wapo wanaonyimwa unyumba nao itakuwa ni kwasababu ya Robaldo?
Mimi nipo hapa kusubiri atakeeleza kiufundi ni kwanini Ronaldo ndiye aliyeifelisha Utd licha ya kuchangia mabao mengi kuliko mchezaji yoyote, anahusika vipi na magoli mengi tuliyoruhusu msimu huu, anahusika vipi na midfield yetu iliyooza?
Nyinyi jengeni team tu ila hizi habari za kutafuta mtu wa kumuegemezea zigo la mavi ni utoto tu, Ile Utd ilikuwa imeoza kuanzia nyuma, katikati na huko mbele alibaki Ronaldo tu mwenye makali.
Mkuu hivi unamjua vizuri ericksen wewe au kwakuwa alikuwa anachezea timu za kawaida nawewe una muona wa kawaida.tokea wamsajili Ericksen mie basi tena labda tusubirie msimu wa 2023/2024
Control wise yupo vizuriNilivyoangalia clip zake anacheza kama Wan Bissaka
Unamuona akianza direct kwenye first XI??Ndio mkuu ni kama AWB na yeye pia ni press resistant, anajua kudrible na kutoroka, anakaba etc, sema anajua kupiga pasi nzuri pia, na ana speed sana. Hivyo fikiria kama Awb+rashford pamoja.
Hajafika hata pre-season..aondoke tujue ni namna gani tutajenga timu yetu.Katika kitu chenye natamani nikiona kinatokea ni ronaldo kuondoka Manchester united yani ndakuwa na furaha sana haiwezekani toka aje yeye wachezaji wengine waache kufung washuke na viwango.