Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,531
Exactly what he brought to Man Utd.huyu alikuwa ni kirusi kulipo Pogba, save for uzungu wake.
Exactly what he brought to Man Utd.huyu alikuwa ni kirusi kulipo Pogba, save for uzungu wake.
Simply a deluded Manchester United fan.Ubora upi alileta Ronaldo au ustriker upi?
Msimu wa 2019/20 Man Utd ilifunga magoli 66
msimu wa mwaka 2020/21 ilifunga magoli 73
this was an upward trend na timu ikamaliza ligi ikiwa nafasi ya pili, then akaja striker mleta magoli
msimu wa mwaka 2021/22 ikafunga magoli 57.
Making 2021/22 among the worst in goal scored record post fergie error.
sababu
2018/19 timu ilifunga magoli 65.
2017/18 timu ilifunga magoli 68.
hivyo expectation, false expectation iliyokuwapo kwamba ataleta magoli, na hizi propositions kwamba oohoo ni top goal scorer (as if timu zingine hazina top scorers) na kwamba alipokuwa hachezi timu ilikuwa haifungi, zote ni uzandiki tu.
Ronaldo made the team collectively weak in every aspect.
You are pathetic, you can not stand the facts.Simply a deluded Manchester United fan.
Man you have done nothing for Manchester United Football Club ,Cristiano Ronaldo has contribute a lot in United/football historyExactly what he brought to Man Utd.huyu alikuwa ni kirusi kulipo Pogba, save for uzungu wake.
Kuna replacement plan ya Ronaldo?Ndo yale yale ya kung'ang'ania wachezaji kama Pogba,mtu akitaka kusepa mwache aende tu.
Hii europa inatucost sana,so tusiwe wabishi saaaana,tutafute wachezaji wa kawaida tu,na tunahitaji kujenga timu so tunahitaj kikos cha angalau misimu mitatu.
Ingawa hoja yake kama ni kutaka usajili,ni hoja nzuri,inshu ni wachezaji wa aina gani??kama ni majina makubwa itakua yale yale...EGO EGO EGO pia inachangia
Facts???You are pathetic, you can not stand the facts.

usifikirie tu juu ya replacement ya Ronaldo, kama yeye Ronaldo anavyotishia kuondoka kama timu haitosajiri waweza kuta wachezaji wanaokuwa approached wanasitasita kusign sababu ya presence ya Ronaldo pia.Kuna replacement plan ya Ronaldo?
Mpaka sasa ku-sign midfield tunasua sua, replacement tutaipata msimu huu?
Inshort United hakuna natural striker zaidi ya Ronaldo, akiondoka inabidi asajiliwe mwingine ambaye hawezi kukupa ubora kama Ronaldo ndani ya muda mfupi. Kocha anajua wazi na anamuhitaji.
Ila uwepo wa Ronaldo unamnyima ETH muda wa kujenga timu kwa kutaka short term success. Ronaldo anajua United wanamtumia kwa muda mfupi wakati yeye hapati chochote zaidi ya pesa, so yupo sawa kuondoka.
sasa unabisha kwamba tukiwa na stiker Ronaldo timu ilifunga magoli 57? na kwamba misimu minne nyuma huyo Ronaldo aliwa hayupo timu ilifunga magoli magoli zaidi ya hayo?Facts???![]()
Kina Eriksen, Frenk De Jong wanasita ku-sign sababu ya Ronaldo?usifikirie tu juu ya replacement ya Ronaldo, kama yeye Ronaldo anavyotishia kuondoka kama timu haitosajiri waweza kuta wachezaji wanaokuwa approached wanasitasita kusign sababu ya presence ya Ronaldo pia.
Chagua moja.Mbona mnamsemea ETH?
What if ronaldo ni key player wa ETH?
Mnaongelea mchezaji anaekupa magoli 25 ya uhakika, nani wa kureplace? Rashford? Martial?
Mpaka sasa kusajili kunasumbua, sasa kupata striker wa kureplace ronaldo mnaongelea £100M kwenda mbele. Wakati DeJong wa £85M anatutoa jasho mwezi sasa.
United ya sasa haina hela, haina influence, haina Champions League. Hakuna mchezaji serious anaekuja, labda afuate mshahara mkubwa tu.
Kuweni serious guys.
I have told you to think about it. usiwe kama mtoto wa chekechekea. tofauti yako na mbuzi ni uwezo wako wa kufikiria, UTUMIE.Kina Eriksen, Frenk De Jong wanasita ku-sign sababu ya Ronaldo?
Tulifanya vibaya kama timu na sio sababu ya Ronaldo.Ubora upi alileta Ronaldo au ustriker upi?
Msimu wa 2019/20 Man Utd ilifunga magoli 66
msimu wa mwaka 2020/21 ilifunga magoli 73
this was an upward trend na timu ikamaliza ligi ikiwa nafasi ya pili, then akaja striker mleta magoli
msimu wa mwaka 2021/22 ikafunga magoli 57.
Making 2021/22 among the worst in goal scored record post fergie error.
sababu
2018/19 timu ilifunga magoli 65.
2017/18 timu ilifunga magoli 68.
hivyo expectation, false expectation iliyokuwapo kwamba ataleta magoli, na hizi propositions kwamba oohoo ni top goal scorer (as if timu zingine hazina top scorers) na kwamba alipokuwa hachezi timu ilikuwa haifungi, zote ni uzandiki tu.
Ronaldo made the team collectively weak in every aspect.
Hilo sijabisha ila bado sijaona points za msingi kuwa Ronaldo ni chanzo cha timu kufanya vibaya msimu uliopita. Just how?sasa unabisha kwamba tukiwa na stiker Ronaldo timu ilifunga magoli 57? na kwamba misimu minne nyuma huyo Ronaldo aliwa hayupo timu ilifunga magoli magoli zaidi ya hayo?
au facts ni yale unayotaka kuyasikia wewe?
Are you sure?usifikirie tu juu ya replacement ya Ronaldo, kama yeye Ronaldo anavyotishia kuondoka kama timu haitosajiri waweza kuta wachezaji wanaokuwa approached wanasitasita kusign sababu ya presence ya Ronaldo pia.
Timu haikufunga magoli mengi kwasababu midfield ilipotea almost kila match.Chagua moja.
1. Man u yenye Ronaldo anayefunga magoli 30 na timu kwa ujumla inafunga magoli 60.
2. Man u isiyo na ronaldo na mchezaji mwenye magoli mengi afunge magoli 16 na timu kwa ujumla imefunga magoli 80.
Ronaldo kaomba kuondoka, je akiondoka tutasajili striker kweli?Uwepo wa Ronaldo ni kama utatuzuia kusajili Striker au yawezekana Manchester bado wanaangalia ukuaji wa Alejandro Garnacho na hali ya Mason Greenwood.

Barca wanataka wachezaji wengi ila bajeti yao inawafunga, De Jong ingekuwa kile kipindi Woodward anamwaga pesa mpaka sasa angekuwa training, sema sasa barca wanam value pesa kubwa ambayo man u wanaona hana thamani hiyo kwa sasa ambapo bid ilikataliwa ikabidi tuweke ads on zile ili itimie pesa wanayotaka barca, ni kaprocess kidogo maana kuna issue za wakala, atacheza match ngapi, makombe ili ifikie hizo ads on ila possibility week ijayo haiishi De Jong anatuaWakati mnatafakari kuhusu Kauli ya CR7, Kasikilizeni Interview ya Laporta leo , kasema Dejong anabaki
Barça president Laporta on de Jong: “There are many clubs that want him, not just Man United. We have no intention of selling him, he wants to stay”.#FCB
“I'm going to do everything to keep Frenkie, but there’s also a salary issue and that would have to be adjusted”.
#MUFC https://t.co/zG4mmo6Rfj
Ishu ya Raphina mkuu haihusiani na klabu hizo ni mchezaji binafsi, ndoto zake ni Barca, ila Chelsea washakubaliana kila kitu na leeds imebaki player side kuamua la sivyo deal ingeshaisha muda tuNi kweli ndugu yangu ,ila tambua Barca Kuna pesa ameanza kuipata , so Mambo yanabadilika muda wowote , waulize Chelsea kuhusu Raphina , wamebaki WANATOA macho